jembepori
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 618
- 194
Nchi hii haiwezi pewa tena mlevi tena wagongo!! Mtu ambaye alikuwa analewa hadi anajikojolea hapa Arusha tukimuana!!! Hapana!! zaidi ni kucheka cheka ka Jk!! Hana sera wala hajatoa dira ya nini anataka kulifanyia taifa!!
Alafu biashara ya kurithishana madaraka haikubaliki tena!! Kimsingi hana mvuto wala jpya!!
Mpitisheni ili barabara ya ukawa iwe nyeupeeee!!!
Sasa si bora mlevi wa gongo kuliko mwizi......hilo la ulevi ni athari yake na familia yake na hili la wizi wa lowassa na kulewa hela mpaka inafikia eti anauliza "tafuta popote na uniletee sauti ya mwalim nyerere alipobikataa nakupa 20 million za ki tz"............huyu hafai hata kidogo......
sera si maandishi ama matamshi, sera ni haiba ya mtu.......kulikuwa na misemo mizuri hapa mara "Arimpya, Nguvu mpya, kasi mpya" ikaja na "ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi" sasa hiyo misemo kama nchi inetusaidia nini mpaka sasa zaidi ya kuwa misemo ya kisiasa?.......
mvuto unamaanisha nini sura?, siasa ni itikadi na si muonekano, katika watu woooote waliotangaza nia hakuna hata mmoja asiye na kasoro kwa sasa sijaelewa unaposema hana mvuto ni wa sura ama? maanna kama ni sura bas utakuwa na akili za kawaida sana wewe katika mambo magum hasa yanayohitaji uzalendo ama umesha kula rushwa kiasi cha kwamba umepofuka macho............
inshallah Baba Aisha atashinda