Mkuu Pasco najua wajua naongelea nini!
Hatimaye ndugu charles Makongoro aka MAKO ameshatangaza nia kama ilivyotarajiwa sasa kilichobaki ni kumtembmmeza tu...
kashfa hana zaidi ya majungu tu!
Twende kazi 2015.
Cc: Mzee Mwanakijiji
Sidhani kama CCM wapo tayari kufanya kosa la karne kwa kumfanya Makongoro mgombea wao.Nasema hivi,kama Lowassa atakatwa jina lake na kuamua kutimkia Upinzani kisha akapewa ugombea basi Lowassa atashinda, hiyo haina ubishi.
Kama Lowassa ataamua kubakia CCM na Makongoro akagombea urais dhidi ya UKAWA,basi UKAWA watashinda bila shida.Adui mkubwa wa Makongoro ni jina lake la mwisho,wale jamaa zangu wakishatajiwa hilo jina haki ya Mungu tena wataenda UKAWA,to the lesser of the two evils. Lowassa pamoja na mapungufu yake ni safe choice, Mwigulu ni mzuri but he is a divisive figure, CCM might lose with him on the ticket. Pinda is not charismatic, he is aloof.
Pasco ndugu yangu huachi unafiki!
Makongoro kaja kama suprise tena suprise ya mwaka huu.najua kuwa unajua alternative ya Makongoro ni UKAWA ....this is according to the 'system'...acha ubishi bana!
Sidhani kama CCM wapo tayari kufanya kosa la karne kwa kumfanya Makongoro mgombea wao.Nasema hivi,kama Lowassa atakatwa jina lake na kuamua kutimkia Upinzani kisha akapewa ugombea basi Lowassa atashinda, hiyo haina ubishi.Kama Lowassa ataamua kubakia CCM na Makongoro akagombea urais dhidi ya UKAWA,basi UKAWA watashinda bila shida.Adui mkubwa wa Makongoro ni jina lake la mwisho,wale jamaa zangu wakishatajiwa hilo jina haki ya Mungu tena wataenda UKAWA,to the lesser of the two evils. Lowassa pamoja na mapungufu yake ni safe choice, Mwigulu ni mzuri but he is a divisive figure, CCM might lose with him on the ticket. Pinda is not charismatic, he is aloof.
Kama Makongoro atakuja kuteuliwa ccm na labda aje ashinde awe rais basi pasi na shaka nitathibisha wananchi wa Tanzania ni kweli wana IQ ndogo sana.
Nasema hivi pamoja na kwamba Makongoro ni uzao wa baba wa Taifa lakini Noo hawezi kuongoza nchi, sana sana atakua anaongozwa kwa remote control na wengine huko CCM... Makongoro sio kiongozi na urais hauwezi ingawaje hana kashfa yoyote.
Tunawaomba kamati kuu ccm impitishe bwana Charles makongoro nyerere kuepusha makundi ndani ya ccm na kulijenga taifa imara nna imani nae binafsi
Makongoro amekuja kivingine kwani ujumbe wa nje wa nchi umehudhuria na kumkubali!
Pasco ndugu yangu huachi unafiki!
Makongoro kaja kama suprise tena suprise ya mwaka huu.najua kuwa unajua alternative ya Makongoro ni UKAWA ....this is according to the 'system'...acha ubishi na hadaa bana!