Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Nnachojua mimi sioni ccm wakimteua Lowassa...naona jina fulani likiteuliwa na sijui nini aftermath ya EL na wenzake ambao waliutaka uteuzi na hatimaye urais kwa gharama yoyote. Mimi si mtabiri ila simuoni rais wa ccm mwaka huu.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila naona kuna uwezekano utabiri wa Kakobe ukatimia...naona mnyukano wa nguvu kwa ccm na naona ikikatika vipande kabla ya uchaguzi na sioni vile itakavyosimama.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila naona kuna uwezekano utabiri wa Kakobe ukatimia...naona mnyukano wa nguvu kwa ccm na naona ikikatika vipande kabla ya uchaguzi na sioni vile itakavyosimama.