Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

Dah, yaani hadi Makongoro anataka kuwa rais? Kweli urais kitu rahisi.
 
CCM wameshakwisha hawana mgombea urais wote mufilisi,ukawa twasubiria Eddo akipasue chama tu.
 
Binafsi sina imani na mtu yoyote anaehusiana na ccm
 
makongoro hasomi hotuba kama wengine walivyofanya, anaongea point tupu.
 
Safi sana Makongoro, vibaka wote CCM tutawafukuza kwenye chama; Chenge, Rostam, Lowassa and co.
 
manuu Huyu ndio Rais anayefaa. behind every successful man there is a woman and Behind every failed man there are women.

Huyu mama atatupunguzia wale wenye kujipitisha pitia ikulu kwa presdaaa. I can't wait kuona displine kwa mume wa mwenzetu. Kama mume alisekwa ndani wewe unayenyemelea mzee utafungwa kifungo cha nje Kama sio cha ndani. MARUFUKU kujichekesha chekesha upate madaraka, upendeleo n.k This is the kind of First Lady we want inTZ.

Big up coming First Lady. You made my day. Hahaha!!!

Queen Esther
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri kipindi kikarudiwa saa 2:30 Usiku kwani ndio muda watu wengi wanakuwa wamepumzika Nyumbani.
 
Huyu Makongoro akipewa airtime za kutosha kama Lowasa anavyozinunua amini anawateka watanzania wote wenye maisha ya kawaida vijini na hata wa mjini. Anaongea kwa hisia sana na mifano
 
Back
Top Bottom