Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,489
Reaction score
3,862
Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa akasema ana mashetani yanapandaga hayataki uke wenza.

Wee, bwana akajitosa akalala kwa Upendo siku tatu, wanaa wakampa taarifa mkewe akakusanya watoto akapeleka kwa ndugu na vitu vya bwana akatoa nje. Yule bwana akakasirika akachukua watoto na vyake wakahamia kwa Upendo... yani Upendo kanyakua jumla... mke anajuta kumtishia bwana sasa alalama.

Yani Upendo ana mashetani hayataki share ya dushe eti, hii itakuwa sogea tuishi ama itazaa ndoa? Na bwana kasema hamwachi Upendo kwani ana hela nyingi na anajua kubembeleza
 
Beauty lies in the eyes of the beholder.

Kila ntu na ntuwe.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…