Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
ntarudi
Pole yake huyu kijana kama kweli kafuata fursa, mwanamke anaweza fanya chochote akiwa kwenye mapenzi mazito ila kwa kuwa asili, imani na desturi vinamtaka mwanaume kuwa kiongozi kwenye mambo yahusuyo familia na uchumi likiwa moja ya mamba inafika mahala mwanamke anachoka na mahusiano kufaAsa huyu kijana ihiiiiii in (magu's voice) atakuwa kaenda kutafuta fursa
Hakuna ndoa ya mwanamke kuoa ilidumu!!!! Mwanamke hawezi mzidi mwanaume kwa kila kitu na mahusiano yakadumu!Pole yake huyu kijana kama kweli kafuata fursa, mwanamke anaweza fanya chochote akiwa kwenye mapenzi mazito ila kwa kuwa asili, imani na desturi vinamtaka mwanaume kuwa kiongozi kwenye mambo yahusuyo familia na uchumi likiwa moja ya mamba inafika mahala mwanamke anachoka na mahusiano kufa
Faru John ndio Open Kitchen 2014?Jina hilo gumu ka Nini sijuiView attachment 1527356
Ni resty ndo humwita hivo restFaru John ndio Open Kitchen 2014?
Aisee watu wana utani wa hatari , Resty ndio Faru John Hahahaaaa!! Rachel Miwaya Triple D.Ni resty ndo humwita hivo rest
Odo Rachel gani tena kaolewa na ana mtoto busy na garden? Au ulimaanisha Resty?We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.
Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?
Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.
Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.
Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?
I miss warumi
Simply hajui kucheza.Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
Hahaaa basi tu hutukanana kuzalilishana tu tusi lolote lileAisee watu wana utani wa hatari , Resty ndio Faru John Hahahaaaa!! Rachel Miwaya Triple D.
Hahahahah unataka kumwamsha Don Nalimison aamke huko alikolalia aisee?Hahaha kwa kifupi kila pipa na mfuniko wake. Kuna kipindi nilidhani mbuta ni dada ake kisandu a.k.a don namilison
Hawa hapaView attachment 1526033
Hahahahah unataka kumwamsha Don Nalimison aamke huko alikolalia aisee?
Duuuuh ulivyo mfokea sasa lolWe naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.
Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?
Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.
Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.
Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?
I miss warumi
Khaaaaah jamaniiiiih dhambi hizi lolSasa lemutuz jamani ihiiiiii ana kifanyio kweli na mwili ule
Mkuu nimeisoma hii post yako ambayo imekuja baada ya Mkuu hapo juu kumuulizia Le Mutuz......nimejikuta nacheka nikitafsiri kuwa wewe ndo LeMutuz.ntarudi
Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
Mbutananga atamupelekaje maana naona Sasa katulia na ndoa ya kanisani. Ila mwezi mchanga ukianza ni shida.
Yule jamaa kaolewa na resty analelewa kila kitu na kafeli law school, Ila na resty na huyo bwanake Hana SAUTi kupiga piga mapicha mwanaume kawa ka mjinga hivi ingetakiwa amushape resty Ila ndo Hana kitu maskini.
Resty kapanga tu hyo nyumba wanayoishi, hafu na dadake naye kibeten chake kimemkimbia had kanywa sumu eti in Rachel's voice
Mwanaume marioo ana shida Sana, mpenda mteremko acha atumwe tu, maana yule angetakiwa amuongoze mke Sasa matokeo ndio anapelekeshwa mwenyewe. Hafu kazi kupigwa mapicha na video nijuavyo wanaume wanaojielewa hukuti Wana piga piga picha hovyoHuyo jamaa mbona anaonekana kama ndio operations manager wa bar ile kufuata vinywaji mohans na rav 4 ile aliyoirithi toka kwa patron shkuba mara kwenye bodaboda hakuna lawyer pale kuna mtu wa mipango tuu na anatumwa kweli na yule mwenziwake