Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

dah aisee kweli mitandaoni hakuna couple goals kila mtu anapambana na hali yake

Mwanaume marioo ana shida Sana, mpenda mteremko acha atumwe tu, maana yule angetakiwa amuongoze mke Sasa matokeo ndio anapelekeshwa mwenyewe. Hafu kazi kupigwa mapicha na video nijuavyo wanaume wanaojielewa hukuti Wana piga piga picha hovyo
 
daaah sasa hapo akija liwa mtoto asitufokee
open_kitchen2014-20200807-0002.jpg
 
Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
Live sura yes na ngozi, ila ule mwili mmhh...ule unene sijui wa wapi
 
Resty ni mzuri wa sura Ila amejiachia Sana na kuruhusu unene, hafu anapenda kumpost mumewe ngoja majimama ya mjini yamnyakue huyo mumewe ndio atajutraa.
Yule mkaka kila mahali yuko nae, yaan wanaongozana hao mpaka! Nikawa najiuliza huyu jamaa anapiga mishe gani? Sipati jibu
 
Yule mkaka kila mahali yuko nae, yaan wanaongozana hao mpaka! Nikawa najiuliza huyu jamaa anapiga mishe gani? Sipati jibu
Mimi huyo mumewe naona anatabia za kike kike hivi mwanaume rijali hawezi act ule utopolo wa resty full kupigana ma picha
 
We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.

Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?


Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.

Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.


Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?

I miss warumi

Unachanganya rachel mara resty fanya ku edit apo. Rachel kaolewa lini?
 
dah aisee kweli mitandaoni hakuna couple goals kila mtu anapambana na hali yake
Ukiona wapenzi Wana postiana mtandao kuwa wanapendana ujue mahusiano machungu. Mapenzi ya watu show off ndani huwa machungu
 
Mwanaume akuzidi kuanzia miaka kumi awe mzoefu wa kila Jambo, akizudi elimu akili na maarifa, Sasa hapo huyo open atakuwa huyo ka mwanawe Sasa watakuwa wanashauriana Nini. Mimi mwenyewe sipendi date mwanaume tunayelingana umri kwanza huwa naona namshinda akili na yeye bado mtoto
Wewe una miaka mingapi?!
 
Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui😆😆!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee🤧🤧🤧!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
Wanawake hampendani kabisa
 
Ila wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.

Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.

Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri, kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.
 
Kuzaliwa ni siku moja na kufa ni siku moja tu cha msingi kuangalia kile ambacho kinakupa furaha hata mamilioni ya watu watafikiria tofauti ilihali kwako kuna ahueni acha maisha yaendelee .

Let love heal the world
 
Kuzaliwa ni siku moja na kufa ni siku moja tu cha msingi kuangalia kile ambacho kinakupa furaha hata mamilioni ya watu watafikiria tofauti ilihali kwako kuna ahueni acha maisha yaendelee .

Let love heal the world
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kusema,huyu mama kaolewa na kijana mdogo

swali langu lipo hapo kwenye neno kijana mdogo mnampima mtu kwa kigezo gani

mpaka mnagundua ni mdogo,mtoto,serengeti boy,nk hebu nisaidieni hiyo elimu namimi inisaidie.
 
Back
Top Bottom