Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,748
2,436
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana.

Tulizoea kuona akipost picha za mumewe huyo na yeye na mtoto. Alimpa sifa zoote. Huyu dada ni kioo cha jamii na Wanawake wengi yeye ndo 'role model' wao.

Mara ghafla naona tena Kafunga Ndoana kijana mwingine.

Je ni nini kilimpata yule Mume wake Baba Iman, Daktari wake wa maradhi yote?

Cc: warumi

1596450675117.png


1596450701579.png

 
Ndoa ilivunjika zaman mno akaona aibu kuweka wazi, alifanya sana jitihada za mazoezi waapii mwili ndo kwanzaa unastawi.

Kama ilivyo kawaida ya wadada wa mjini kufuga mashost kama james delicious si ajabu bibie alipokonywa mume na shost mmoja au jamaa aliamua kujisogeza pembeni kwa mke wa pili
 
Ndoa ilivunjika zaman mno akaona aibu kuweka wazi,alifanya sana jitihada za mazoezi waapii mwili ndo kwanzaa unastawi.

Kama ilivyo kawaida ya wadada wa mjini kufuga mashost kama james delicious si ajabu bibie alipokonywa mume na shost mmoja au jamaa aliamua kujisogeza pembeni kwa mke wa pili
Alikua anamuanika sana enzi za Instagram mpaka watu walimuonya mwanaume yule alikua msuper sana
 
Kuwa na vijana wadogo hivi ni pasua kichwa,ila ndio hivyo kipendacho roho...
Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui😆😆!

Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee🤧🤧🤧!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
 
Back
Top Bottom