Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Asa huyu kijana ihiiiiii in (magu's voice) atakuwa kaenda kutafuta fursa
Pole yake huyu kijana kama kweli kafuata fursa, mwanamke anaweza fanya chochote akiwa kwenye mapenzi mazito ila kwa kuwa asili, imani na desturi vinamtaka mwanaume kuwa kiongozi kwenye mambo yahusuyo familia na uchumi likiwa moja ya mamba inafika mahala mwanamke anachoka na mahusiano kufa
 
Hakuna ndoa ya mwanamke kuoa ilidumu!!!! Mwanamke hawezi mzidi mwanaume kwa kila kitu na mahusiano yakadumu!
 
We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.

Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?

Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.

Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.

Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?

I miss warumi
Odo Rachel gani tena kaolewa na ana mtoto busy na garden? Au ulimaanisha Resty?
 
Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
Simply hajui kucheza.
Si sababu ya unene.
Hajui kucheza hajui moves hajui chochote.
Fan ya kucheza music si yake kabisa.
 
We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.

Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?

Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.

Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.

Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?

I miss warumi
Duuuuh ulivyo mfokea sasa lol
 
Fact za harakaharaka Dada Open jiko alitengana na mumewe wa kwanza. Dada alikuwa anapenda kutembea kwenye uber ya huyo dogo mido. Mido kijana wa kinondoni alikuwa dereva wa uber. Akazamia kwenye penzi na mteja wake wa siku nyingi.

Sababu wote ni waislamu ni jambo la heri kuoana kuliko kuzini. Kiufupi mwanamke yuko vizuri na anajituma kiuchumi kuliko mume. Mungu awajaalie kheri kwenye ndoa yao na inshaalah kwa akili zao wote watafika mbali kiuchumi.
 
hahaaa eti amelewa muda wote..si ndo kujichetua sasa

Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
 
kumbe kafeli..mkewe anavyomsifia Mr lawyer sasa

Mbutananga atamupelekaje maana naona Sasa katulia na ndoa ya kanisani. Ila mwezi mchanga ukianza ni shida.
Yule jamaa kaolewa na resty analelewa kila kitu na kafeli law school, Ila na resty na huyo bwanake Hana SAUTi kupiga piga mapicha mwanaume kawa ka mjinga hivi ingetakiwa amushape resty Ila ndo Hana kitu maskini.
Resty kapanga tu hyo nyumba wanayoishi, hafu na dadake naye kibeten chake kimemkimbia had kanywa sumu eti in Rachel's voice
 
Huyo jamaa mbona anaonekana kama ndio operations manager wa bar ile kufuata vinywaji mohans na rav 4 ile aliyoirithi toka kwa patron shkuba mara kwenye bodaboda hakuna lawyer pale kuna mtu wa mipango tuu na anatumwa kweli na yule mwenziwake
Mwanaume marioo ana shida Sana, mpenda mteremko acha atumwe tu, maana yule angetakiwa amuongoze mke Sasa matokeo ndio anapelekeshwa mwenyewe. Hafu kazi kupigwa mapicha na video nijuavyo wanaume wanaojielewa hukuti Wana piga piga picha hovyo
 
Back
Top Bottom