Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,295
- 35,841
Naomba kupata six park ya vile vitu vyangu Weekend hii Swahiba.😄Swahiba we chagua unatakaje,zizidi kujaa telee
Ndugu yako mwezi wa tisa umejua kunitandika...Bora umeisha tu
Naomba kupata six park ya vile vitu vyangu Weekend hii Swahiba.😄Swahiba we chagua unatakaje,zizidi kujaa telee
Ndio dadii🤸🏽♂️Hela kwangu ni nyingi... Au nikutumie milioni 1 ya pipi?
hahahahahaha,Swahiba hili unajua kabisa ni jukumu langu la msingi kutekeleza, huu mwezi kdg ulikua tytNaomba kupata six park ya vile vitu vyangu Weekend hii Swahiba.😄
Ndugu yako mwezi wa tisa umejua kunitandika...Bora umeisha tu
Duh..... ni vyema kuwa wawili mkuuMe Sidhani kama yupo...nalia Mwenyewe
Umenena vyema mkuu1 Wakorintho 13:7: "[Upendo] huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote." Neno kustahimili maana yake ni kubeba uzito au maumivu yanayotokana na yule unayempenda bila kuacha kumpenda
Wenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana1 Wakorintho 13:7: "[Upendo] huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote." Neno kustahimili maana yake ni kubeba uzito au maumivu yanayotokana na yule unayempenda bila kuacha kumpenda
Very trueWenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana
😆😆Wenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana
Hakika mkuu🔥🔥🔥Umenena vyema mkuu
Wewe unapoelekea! NakuhurumiaJoanah Heshima kwako 🙏 ⁉️
Fanya hivyo Swahiba wangu....Unaelewa vyema....hahahahahaha,Swahiba hili unajua kabisa ni jukumu langu la msingi kutekeleza, huu mwezi kdg ulikua tyt
Shem bae niko balehe ya pili, najaribu kushika brake lakini nashindwa.Mzee unaenda resi wewe.😅
Sasa hii ni nini aki?