Upendo wa kweli utajidhirisha

Upendo wa kweli utajidhirisha

Shem bae niko balehe ya pili, najaribu kushika brake lakini nashindwa.

Nilitaka nikuite ila kuna njemba very respectful imesema maneno mazito juu yako.
Nafanyaje sasa🤣
Shem Bae unazingua....Tena unazingua vibaya mno🤣🤣🤣🤣 Kama Balehe ya pili iko hivi usipoangalia itakuwa fedheha Shem Bae😁
Sasa huyo "njemba" kwani amekuzuia nini kunitaja lakini?
 
Shem Bae unazingua....Tena unazingua vibaya mno🤣🤣🤣🤣 Kama Balehe ya pili iko hivi usipoangalia itakuwa fedheha Shem Bae😁
Sasa huyo "njemba" kwani amekuzuia nini kunitaja lakini?
Haiwezi kuwa fedheha, siwezi kukubali kudhalilika, ila kwenye kutafuta lazima uingie huku na kule🤣

Wewe kuambiwa unizeeshe utakubali? Na bwana Tresor atanielewaje, sitaki risasi mie🤣
 
Haiwezi kuwa fedheha, siwezi kukubali kudhalilika, ila kwenye kutafuta lazima uingie huku na kule🤣

Wewe kuambiwa unizeeshe utakubali? Na bwana Tresor atanielewaje, sitaki risasi mie🤣
Ila wewe😅😅😅😅
Sasa mimi nakuteteaje humu...na Wanajua wewe ni Shem bae wangu peke yangu kwa Mahi wangu?

Tresor atakuelewa vyema tu....hanaga mambo mengi🤣
 
hahahahahahaha,mie siku hizi sipigi masasi mutu, wewe sema neno, Makiwendo ni Swahiba wangu kipenzi sana humu,haina shida mtaje tu
Mkuu,
Una heshima yako kwangu, sitaki kuingia anga zako hata kidogo, hii interest uliyoonyesha kwa sisi wala chumvi hatuhitaji maswali🤣

Hata hivyo Makiwendo ni shem wangu, hatujawahi kuvuka mipaka🤣🤣
 
Back
Top Bottom