Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,520
- 46,398
Nasubiri kutagiwa
Pisi yangu haina mapembe budaaTambua kuwa penzi haligawanyiki. Basi fanya hivi! Shika mapembe Mimi nitakuwa ninakamua 😎
Pisi gani tena buda. Seran?Pisi yangu haina mapembe budaa
Lakini si nakutafuna kwa upendo mamiiNi kutafunwa mpaka mifupa🙆🏽♀️
Seran hana mapembePisi gani tena buda. Seran?
Sina baya kwako ba mchungaji!Unapendwa sana we mtoto mzuri nilichogundua huna baya na yoyote ishi sana mtu wangu wa nguvu wewe ni mtu wa watu aisehh huna baya mama mchungaji wangu ❤️❤️❤️❤️
Unanipa na ela au bila ela?Lakini si nakutafuna kwa upendo mamii
Seran ana mtu wake, mtu mwenyewe ndiye mimi.Seran hana mapembe
Umekumbusha mbali sana hii teminolog tulikuwa tunatumia kwa wanaume wenye urafiki na wasichana huku hao wasichana wakiwa na wapenzi waoWashika pembe mnaitwa.
Yap na humu wamejaa tele.Umekumbusha mbali sana hii teminolog tulikuwa tunatumia kwa wanaume wenye urafiki na wasichana huku hao wasichana wakiwa na wapenzi wao
Na washika pembe wanafika hatua wanagombana na kurushiana maneno makaliYap na humu wamejaa tele.
Inauma sana kuwa mshika pembe.
Wanajichoresha huku wanaokula mali wapo pembeni wametulia wanawacheki tu.Na washika pembe wanafika hatua wanagombana na kurushiana maneno makali