Upendo ni zawadi

Upendo ni zawadi

Ukishaharibu kikubwa kwa mara ya kwanza ukaomba samahani ukasemehewa siku chache baadaye kosa lile lile tena! 😳

Mtu kakutafuta kakosa anaanza kukokoromea utadhani umeua mtu unashindwa hata kumjibu kumbe ulikuwa kwenye mkutano huna kosa lolote lile. Siku chache tena yale yaleeeee. Wivu ni kitu kizuri sana ila uwe wa kiasi ukipitiliza ni dosari kubwa sana.

Ving'ang'anizi si ndo wenye mapenzi ya kweli jamaniiiii
 
Ha ha ha ha ashaongea pia na mwanasheria wako ili kuficha urithi kama uliandika yaan tafran tupu bora uwe middle kuliko tajiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee yaani unamwambia kabisa let's end this na yeye yumo tu? Au wewe mtamu kuliko mcharo [emoji23][emoji23][emoji23]
Inatokea sana, hata wewe kuna mwanamke aliyewahi kukupenda unamfanyia vituko vyote bado yeye ndiyo anakuomba msamaha na hata ukimwambia tuachane analia hadi unasema acha nimwache tuu akichoka atasepa. Utabisha ila kuna ukweli.
 
Huyo bwana. .hata mimi nimeanza kumuhisi hivyo hivyo "" mcharo itakuwa hagusi hapo... haiwezekani agandwe kama ruba kiasi hicho aise
@hearly unashangaa kama vile Leo ndiyo umesikia haya mambo[emoji17]
 
Kumjibu mtu kwa Matendo inaumiza zaidi kuliko maneno maana mtu anakua hana uhakika kama unampenda au la. Mwingine anaweza kuwa anawaza kua unampima tu ili uone kama anakupenda... kwahiyo anavumilia akiwa na matumaini labda siku moja utampenda.... mapenzi haya sio mazuri kabisa. Yanafanya mtu anakua zuzu sio zuzu choko sio choko yaani basi tu ilimradi moyo wake uumizwe akaribie kufa kwa presha ndio mtu anastuka kua hapendwi
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwa zuzu siyo zuzu , choko siyo choko ndiyo penyewe sasa.

Kuna watu hata uwaache uwaambie SIKUTAKI anakujibu "baby najua ni hasira tuu siyo kwamba haunitaki" . wewe tembea ujionee.
 
Wanasema wameletwa duniani kwa kazi moja "kukupenda wewe tuu" hata umuache anang'ang'ana eti hawezi "kumkosea Mungu " kwa kukubali kuachana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kitandani huwaga mnakuwa Maradona?
 
Ninaoo sema sion wa kumpa[emoji848]
Kama unao huwezi kukosa wa kumpa, upendo Ni Kama furaha,ukiwa na furaha hata mpita njia atatajua, huyu mtu anafuraha yeyote atakayetokea mbele yako atahisi tu huyu mtu ana furaha na upendo upo hivo hauna masharti.

Ukiwa nao ndugu jamaa na marafiki wote wanajua tu dada flani Ana upendo sana
 
Ukishaharibu kikubwa kwa mara ya kwanza ukaomba samahani ukasemehewa siku chache baadaye kosa lile lile tena! [emoji15]

Mtu kakutafuta kakosa anaanza kukokoromea utadhani umeua mtu unashindwa hata kumjibu kumbe ulikuwa kwenye mkutano huna kosa lolote lile. Siku chache tena yale yaleeeee. Wivu ni kitu kizuri sana ila uwe wa kiasi ukipitiliza ni dosari kubwa sana.
Basi ukipata asie na wivu usilalamike maana utaona kama hakupendi

Uyo kazidisha tu ila ndo anakupenda kweli
 
Back
Top Bottom