Upendo ni zawadi

Upendo ni zawadi

Achana kabisa na Mvuto wa olive oil ---yaani mtu anaambiwa kuwa sikutaki lakini bado tu ---- kumbe jana sikuwa nimekosea kiruuuuu
Nilimwambia lakini alikataa kukubali.

Akini hata kama nisingemwambia mbona matendo tuu yanatosha kumfanya mtu afuate ushauri wa mtoa mada. Ni angejiongeza tu.
 
Achana kabisa na Mvuto wa olive oil ---yaani mtu anaambiwa kuwa sikutaki lakini bado tu ---- kumbe jana sikuwa nimekosea kiruuuuu
Eeh Ataenda wapi zaidi ya kung'ang'ana.
Tena anasema "baby Mimi napenda sana unavyonijibu vibaya"..
 
Nilimwambia lakini alikataa kukubali.
Akini hata kama nisingemwambia mbona matendo tuu yanatosha kumfanya mtu afuate ushauri wa mtoa mada. Ni angejiongeza tu.
Kumjibu mtu kwa Matendo inaumiza zaidi kuliko maneno maana mtu anakua hana uhakika kama unampenda au la. Mwingine anaweza kuwa anawaza kua unampima tu ili uone kama anakupenda... kwahiyo anavumilia akiwa na matumaini labda siku moja utampenda.... mapenzi haya sio mazuri kabisa. Yanafanya mtu anakua zuzu sio zuzu choko sio choko yaani basi tu ilimradi moyo wake uumizwe akaribie kufa kwa presha ndio mtu anastuka kua hapendwi
 
Hahaha naomba namimi Hiyo chance tafadhali. .Nzi kufia kwenye kidonda ni halali.
Eeh Ataenda wapi zaidi ya kung'ang'ana.
Tena anasema "baby Mimi napenda sana unavyonijibu vibaya"..
 
Back
Top Bottom