BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
Awe nao wa kiasi ila usivuke mipaka ili kuleta mitafaruku isiyohusu kitu hadi inakuwa karaha.
Basi ukipata asie na wivu usilalamike maana utaona kama hakupendi
Uyo kazidisha tu ila ndo anakupenda kweli