ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,210
Hahahaha umegundua tatizo lipo wapi Sasa, unawaza wa kukupa,we umempa Nani???Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Ukiwa na upendo utatoa ,ukiwa huna unatafuta wa kukupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]