Upendo ni zawadi

Upendo ni zawadi

Hizo picha zime tumika kama reference ya topic iliyopo mkuu -- ina maana umeshindwa hata kujiongeza ili uweze kuling'amua hilo?
Hii pcha ya chini ni movie inaitwa falling ya kinigeria acheni kutudanganya baana
 
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....
Weeh acha hizo Mungu alituepnda akamtoa Yesu.na yeye anatarajia tumfuate Yesu au yeye mwenyewe anatarajia tutende mema.expectation are there mkuu..hukiona mtu anakupenda hana expectation yoyote kwako jua hana upendo wa kweli....expectations are there upende usipende
 
Back
Top Bottom