Sio kila anayeambiwa let's end this relationship huwa anakubali.
Pamoja vituko vyote unavyoweza kumfanyia lakini bado akaendelea kutaka kubaki kwenye maisha yako akiamini kuna siku utabadilika.
Haya mambo yapo na ni halisi japo ni vigumu sana watu Ku admit.
Kwaiyo hata wewe upendo huo hauna nao kwa sasaTatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithiKuna mtu unaweza ukampenda sana na ukaonyesha upendo wote kumbe anakereka.
Well noted!
Mtani hebu chomekea na ako kaupande ka shati kalikobaki basi. 😜😜Kwaiyo hata wewe upendo huo hauna nao kwa sasa
Siungemwambia tuu. Hukua unampenda ndio maana alikua anajilazimisha kwako... sio vizuriJapo mimi nimewahi kumtenda mtu.
Kuna mtu aliwahi kunipenda ila alikuwa ananikera akiniambia "I love you'' nilikuwa nashikwa na hasira balaa.
Yaani akinionyesha mahaba sitamani hata kuyaona yaani, akawa anaishia kuniambia tuu " sasa nifanye nini maana kila ninachofanya nakosea".
Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithi
hahaha umejua umenifanya nicheke peke angu mtaniMtani hebu chomekea na ako kaupande ka shati kalikobaki basi. 😜😜
haha poa poa mkuuAkikujibu ni-tag
Sijibu basi[emoji41]Akikujibu ni-tag
[emoji41][emoji41]Kwaiyo hata wewe upendo huo hauna nao kwa sasa
Hahaaaa. Cheka tu Mtani uongezage umri.hahaha umejua umenifanya nicheke peke angu mtani
Kwa hiyo siyo upendo mkuu?Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithi
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....Tatizo anaepewa thamani, je naye anatambua kua anathaminika hapo ndio mbombongafu
Nilimwambia lakini alikataa kukubali.Siungemwambia tuu. Hukua unampenda ndio maana alikua anajilazimisha kwako... sio vizuri
dalili za yeye kuto lala pembeni yako nazionaHahaha kwahiyo umenuna ---Basi sikuoi
Ewaaaa wanaona kama anachelewaKwa hiyo siyo upendo mkuu?
Wanasubiria ataukata saa ngapi[emoji23][emoji23]
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....