Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,577
Nzuri RuttaHabari yako Dina.
Nzuri RuttaHabari yako Dina.
Teh Teh asilimia 90% ya mawifi watanzania ni wala vumbi hawana hela..!hongera mama
umefanikiwa kutujaza wivu
sie wenye mawifi hawana hela
na mawifi dada binamu kutwa kupigana vikumbo kisa kaka yao kinyama cha hamu...
Umekuwa adimu sana ...kitambo sana sijakutana na comment yako! Aliyekuficha mwambie apunguze...Nzuri Rutta
Teh teh mbona nipo bana,nimefichwa kidogo tuUmekuwa adimu sana ...kitambo sana sijakutana na comment yako! Aliyekuficha mwambie apunguze...
Hahaha yani me hapa nikikutana tu na mtu aniambie "I'm the only male child kwetu", moyo unapepea kabla hata hajasema ana madada wangapi uwiiiHAHAHA Huyo binti ana bahati kupata mawifi wa namna hiyo halafu kuna jambo haliweki wazi hasa aliposema yeye yuko "simple" pengine huo usimple watu wana mtazama kama yuko rough sana hasa mawifi zake hivyo wana jaribu kumuweka kwenye mstari.
sasa mshaurini achague jinsi ya kwenda nao sawa wasione kama ana wareject au achague kuanzisha vita ambayo baadae atashindwa.
Kama mawifi zake wanampenda hivi sidhani kama anaweza kushindwa kukaa nao kirafiki na wakaongea tuu kuwa haya nimeshindwa haya nayaweza lakini akianza kuwakimbia na kudindia lazima ataumia yeye.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yuko tayari kupoteza ndugu au furaha ya ndugu kwaajili ya mwanamke.
Si bora yeye ana mawifi sita mimi akanana ana mawifi zaidi ya tisa...
Asante sana. Nitaufanyia kazi ushauriWaambie kisilencer
ANZA KUWANUNULIA UNAVYOPENDA!
ANZA KUWATAMBULISHA AINA YAKO YA MAISHA
ANZA KUZUNGUMZA KUHUSU INTEREST ZAKO
ANZA KUSHARE NAO HOBBIES
RECOMEND OUTINGS,WHERE TO EAT WHERE TO SHOP WHOTO CALL UKITAKA VISIMPLE!
story za aina hiyo!
waonyeshe picha zako mkiwa na kaka yao akiwa very happy!
GIVE THEM UR LIFE PROFILE WATAJIUDJUST NAWE UTAJIUDJUST KIDOOOOGO MTAPATA BOOOOONGE LA BLEND!
pengine wao aina yao ya kuonyesha kupenda ni kununua vitu vya thamani!
waonyeshe kuwa mtu anaweza kukupenda na kukuonyesha anakupenda even by spending a quality time with u!
MTAJIFUNZA PAMOJA !
HALAFU MAISHA YATAKUWA POOOOOOOOA!
sio mbaya kihivyo as wangekuwa the opp wa hivyo walivyo,SITA,eenenehhehehehhe MAJI UNGEITA MMA!
Asprin Kaizer na platozoom kama dada zenu wako hivi muwambiage na nyie!
chaaaa!
Kiherehere tena...This is my official fiancee, harusi early september hivyo mimi tayari ni part ya familia. Na sioni tatizo mimi kwenda harusini kama plus one wa mchumba wangu. Ni katika kujuana vizuri zaidi.
Duuh leo tutakoma humu na vimbwanga vya ma babes.*NANI KAKUZUIA KUJIPAMBA, EBU JIPAMBE DADA... JIPAMBE UWE MREMBO ZAIDI*
Leo nataka kuwatia moyo wanawake kwa habari ya kujipamba, jipambe ili mpendeze mwaya.......
Najua zipo saloon nyingi zenye hadhi mbalimbali na zina wataalamu wa viwango tofauti tofauti lakini nimegundua saloon moja haihitaji gharama kubwa sana kama unataka kupambwa.
Nilikuwa napita mahali nikaiona, nikasema lazima niwashauri wanawake waende hiyo saloon wakajipambe na haipo mbali. Unakubalije kukaa bila kujipamba na wakati umeruhusiwa?
Mwanzoni nilipoiona hii saloon nilishtuka nikaambiwa, usishtuke .........nikauliza kwanini? Nikaambiwa...... _*Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu na kuwatii waume zao*_1Pet 3:5
Nikauliza walitumia mapambo gani hao wanawake wa zamani? Akasema; _*Wanawake wa zamani walijipamba kwa mapambo yasiyoharibika yaani roho ya upole na ya utulivu*_ 1Pet 3:4 Nikasema.... Kumbe kuwa na roho ya upole ni pambo! Kumbe roho ya utulivu ni pambo!
Mapambo adimu sana haya kwa wanawake wengi siku za leo. Mapambo haya hayapatikani saloon za kawaida bali ndani ya Bible pekee.
Ili kujua mtu ana roho ya utulivu ni pale yanapotokea mazingira ya tafrani, misukosuko. Ukiona mwanamke unatokea msukosuko kidogo tu kwenye ndoa yake, halafu anaenda kumtangaza mumewe nje vibaya, ukiona hivi ujue huyu hajapambwa huyu. Unatembea barabarani kumbe unanuka, udhaifu wako wote umeshatolewa nje na hujui.
Na ili kujua mwanamke ana roho ya upole ni pale mazingira yanapokuwa ya fujo, kelele na vimbwanga. Ukiona mwanamke mkali kiasi kwamba mume hajisikii kuwahi nyumbani ujue huyu mwanamke kakosa pambo huyu.
Wanawake jipambeni kwa mapambo hayo jamani, ni mapambo yasiyoharibika yanadumu, hata ukinyeshewa mvua hayabanduki, wanaume/waume zenu wanatamani kuwaona wake zao wakijipamba kwa mapambo hayo.
Lipsticks, Brazilian Hair, Expensive shoes, Expensive dresses, Manicure, Pedicure, Mascara, Eyeshadows....etc haya yanaharibika, hayafai kwa binti za Mungu. Jipambe kwa roho ya upole na utulivu ili uwe mrembo rohoni binti ya MUNGU.
*MUNGU KWANZA!!!*
Hebu fafanua kuhusu hilo DANGA.Be yourself, nilipata danga flani hivyo, dada yake aliwahi kuwa miss, yeye anafikiri urembo ni extension hair, nails, eyebrow na eyelashes. Hivyo vyote sikuviweza, mwisho wa siku alikubali kuwa siwezi kubadilika.
Upo kwenye ulimwengu huu my dear.Missing you so long sijakutana na comment yako.Waambie kisilencer
ANZA KUWANUNULIA UNAVYOPENDA!
ANZA KUWATAMBULISHA AINA YAKO YA MAISHA
ANZA KUZUNGUMZA KUHUSU INTEREST ZAKO
ANZA KUSHARE NAO HOBBIES
RECOMEND OUTINGS,WHERE TO EAT WHERE TO SHOP WHOTO CALL UKITAKA VISIMPLE!
story za aina hiyo!
waonyeshe picha zako mkiwa na kaka yao akiwa very happy!
GIVE THEM UR LIFE PROFILE WATAJIUDJUST NAWE UTAJIUDJUST KIDOOOOGO MTAPATA BOOOOONGE LA BLEND!
pengine wao aina yao ya kuonyesha kupenda ni kununua vitu vya thamani!
waonyeshe kuwa mtu anaweza kukupenda na kukuonyesha anakupenda even by spending a quality time with u!
MTAJIFUNZA PAMOJA !
HALAFU MAISHA YATAKUWA POOOOOOOOA!
sio mbaya kihivyo as wangekuwa the opp wa hivyo walivyo,SITA,eenenehhehehehhe MAJI UNGEITA MMA!
Asprin Kaizer na platozoom kama dada zenu wako hivi muwambiage na nyie!
chaaaa!
Hakika mapambo yaliyo bora ndo hayo sasa, safi sana.*NANI KAKUZUIA KUJIPAMBA, EBU JIPAMBE DADA... JIPAMBE UWE MREMBO ZAIDI*
Leo nataka kuwatia moyo wanawake kwa habari ya kujipamba, jipambe ili mpendeze mwaya.......
Najua zipo saloon nyingi zenye hadhi mbalimbali na zina wataalamu wa viwango tofauti tofauti lakini nimegundua saloon moja haihitaji gharama kubwa sana kama unataka kupambwa.
Nilikuwa napita mahali nikaiona, nikasema lazima niwashauri wanawake waende hiyo saloon wakajipambe na haipo mbali. Unakubalije kukaa bila kujipamba na wakati umeruhusiwa?
Mwanzoni nilipoiona hii saloon nilishtuka nikaambiwa, usishtuke .........nikauliza kwanini? Nikaambiwa...... _*Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu na kuwatii waume zao*_1Pet 3:5
Nikauliza walitumia mapambo gani hao wanawake wa zamani? Akasema; _*Wanawake wa zamani walijipamba kwa mapambo yasiyoharibika yaani roho ya upole na ya utulivu*_ 1Pet 3:4 Nikasema.... Kumbe kuwa na roho ya upole ni pambo! Kumbe roho ya utulivu ni pambo!
Mapambo adimu sana haya kwa wanawake wengi siku za leo. Mapambo haya hayapatikani saloon za kawaida bali ndani ya Bible pekee.
Ili kujua mtu ana roho ya utulivu ni pale yanapotokea mazingira ya tafrani, misukosuko. Ukiona mwanamke unatokea msukosuko kidogo tu kwenye ndoa yake, halafu anaenda kumtangaza mumewe nje vibaya, ukiona hivi ujue huyu hajapambwa huyu. Unatembea barabarani kumbe unanuka, udhaifu wako wote umeshatolewa nje na hujui.
Na ili kujua mwanamke ana roho ya upole ni pale mazingira yanapokuwa ya fujo, kelele na vimbwanga. Ukiona mwanamke mkali kiasi kwamba mume hajisikii kuwahi nyumbani ujue huyu mwanamke kakosa pambo huyu.
Wanawake jipambeni kwa mapambo hayo jamani, ni mapambo yasiyoharibika yanadumu, hata ukinyeshewa mvua hayabanduki, wanaume/waume zenu wanatamani kuwaona wake zao wakijipamba kwa mapambo hayo.
Lipsticks, Brazilian Hair, Expensive shoes, Expensive dresses, Manicure, Pedicure, Mascara, Eyeshadows....etc haya yanaharibika, hayafai kwa binti za Mungu. Jipambe kwa roho ya upole na utulivu ili uwe mrembo rohoni binti ya MUNGU.
*MUNGU KWANZA!!!*
Waambie kisilencer
ANZA KUWANUNULIA UNAVYOPENDA!
ANZA KUWATAMBULISHA AINA YAKO YA MAISHA
ANZA KUZUNGUMZA KUHUSU INTEREST ZAKO
ANZA KUSHARE NAO HOBBIES
RECOMEND OUTINGS,WHERE TO EAT WHERE TO SHOP WHOTO CALL UKITAKA VISIMPLE!
story za aina hiyo!
waonyeshe picha zako mkiwa na kaka yao akiwa very happy!
GIVE THEM UR LIFE PROFILE WATAJIUDJUST NAWE UTAJIUDJUST KIDOOOOGO MTAPATA BOOOOONGE LA BLEND!
pengine wao aina yao ya kuonyesha kupenda ni kununua vitu vya thamani!
waonyeshe kuwa mtu anaweza kukupenda na kukuonyesha anakupenda even by spending a quality time with u!
MTAJIFUNZA PAMOJA !
HALAFU MAISHA YATAKUWA POOOOOOOOA!
sio mbaya kihivyo as wangekuwa the opp wa hivyo walivyo,SITA,eenenehhehehehhe MAJI UNGEITA MMA!
Asprin Kaizer na platozoom kama dada zenu wako hivi muwambiage na nyie!
chaaaa!
Mkuu unatafuta mke, mchumba, rafiki au unataka kutuletea uasherati wako hapa?Fanya uni connect na mmoja nipunguze bughdha ya kusumbuliwa maana atakuwa busy.
Kashakugegeda au bado? Mawifi hawaji kupiga chabo muwapo chumbani?Yes official, kaja kwetu kaomba kunioa mbele ya familia na wazazi wangu wamemkubalia. Anatambulika nyumbani kama mwanaume wangu.
Unajua maana ya gubu au ilimradi na wewe unajiona umenichana..teh teh...nimekuja kuomba ushauri na luckily nimepata ushauri mzuri sasa kama unaona nawasema poa tu...Asante kwa kuja by the wayBinadamu hatuna shukurani nimeamn, unapendw unalaumu ukichukiwa napo utaulumu cjui km wanajua umekuja kuwasema humu asee. Mbona wanakujali jmn tena kwa ypendo wa dhati n kweli mwanamke ukivaa kiatu kirefu unaxid kuonekana mrembo. Lkn pia wanakununulia bure shida nin kuchukua, kikubwa unafanyiwa mambo maxuri shukuru wakikuanzia visa utajuta. Hyo n familia wanaopendana sana inaonekana na ndio maana wanakupnda wf yao, una gubu