YEYE
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 437
- 72
Mkubwa,wajua sifa za kuwa Mbunge?
Tafakari
OTIS
Nazipata sana:
1.uwe na umri wa miaka 21+
2.ujue kusoma na kuandika
Mkubwa,wajua sifa za kuwa Mbunge?
Tafakari
OTIS
Hivi wakati unaandika upupu huu umefikiria huko CCM na serikalini kuna wangapi wenye ndg, wake, waume ect au ?
Sina haja ya kutaja majina yote maana kwanza yanatia kichefuchefu lakini kwa kuanzia tuambie huyo fisadi mkuu, rizi1 na kale kakinda kaliko ktk baraza la maskauti tanzania. Then chungulia bungeni : Mzindakaya, shelukindoz, Kigodas, Kahamas, Lusindes, Kawawas, Sokoines, Pindas, ect...
Tuambie hawa waliachiana au gawiana wapi then njoo tujadili...!!
BTW bora hata hao maana wamewapa watu na kazi yao bungeni inaonekana (magamba wanaijua vizuri) kuliko kujaza wauza unga na huyo waziri mvuta bangi anayesinzia kila siku..!!
Jibu la Tundu na dada yake kupeana vyeo mkubwa.
OTIS
Nilitafakari kuhusu upendeleo wa wazi aliofanya Tundu kumpa ubunge dada yake.
Ilihali CDM imeshinda jimbo moja tu Singida.
OTIS
Mbona Morogoro imetoa viti maalumu wawili na hawana mbunge wa kuchaguliwa hata mmoja wa CDM,.Ka hoja yako ni hiyo ya mkoa kushinda majimbo mengi ndo utoe vit maalumu basi viti maalumu viendelee kubaki kaskazini
ndugu yngu wanawake wa pale singda wamejawa na uoga hata wewe unaweza kusaidiana na dada yako kumsaidia mnyonge anayeonewa na jirani yako na cyo kuwa naundugu huo kwako ni mtadhamo wa kizanifu usiokuwa na maana na mbowe kuoa kwa mtei cyo kigezo nadhan inabid ujaribu kuacha kuupotosha umma hususani wanachama wa chadema.
Safi sana,kumbe wajua.
Haya hebu tueleze Singida nzima hakuna mwanamke mwanachama wa CDM mwenye 21+ of age na anaejua kusoma na kuandika zaidi ya dada yake Tundu?
OTIS
Mchango upi zaidi ya kuwa dada wa Tundu?
OTIS
An intelligent enemy is better than a stupid friend.:banplease: una jipya OTIS :hurt: upo kiudaku sana a.k.a mzee wa majungu
Tumia lugha njema mkubwa.
OTIS
Ndugu cjui huyu jamaa kakosa kazi ya kufanya!> hivi hawa awatazami? >Abdalah kigoda, Anna Abdalah> ali Mwinyi, Husen Mwinyi> Karume , karume na wengine wengi 2.
Nilitafakari kuhusu upendeleo wa wazi aliofanya Tundu kumpa ubunge dada yake.
Ilihali CDM imeshinda jimbo moja tu Singida.
OTIS
Achilia mbali mkoa na hata kanda, if it takes a single family to do what CHADEMA has done this country sioni shida. Ni vema mtoa mada na watu wenye mawazo kama yake waelewe kwamba kinachopiganiwa hapa ni viongozi wachapakazi na waadilifu. Wawe wametoka kanda moja, mkoa mmoja na hata familia moja cha muhimu ni kufanya kazi kwa mujibu sheria na taratibu zilizowekwa, kutenda haki kwa watanzania wote. Huu utaratibu wa kuweka 'wachapa usinginzi' sehemu za kazi i.e bungeni kwa kisingizio cha kugawana madarakana kwa maoni yangu ni criminal offense.
Haiwezekana unampa mtu madaraka kwa sababu tu katoka sehemu fulani, au ni wa jinsia fulani. Kujificha kwenye hoja kama hizi ni kufilisika kisiasa. Watu wanalipa kodi ili kuwaandalia 'viongozi' ofisi nzuri za kulala! Sio haki!