Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

Hivi wakati unaandika upupu huu umefikiria huko CCM na serikalini kuna wangapi wenye ndg, wake, waume ect au ?

Sina haja ya kutaja majina yote maana kwanza yanatia kichefuchefu lakini kwa kuanzia tuambie huyo fisadi mkuu, rizi1 na kale kakinda kaliko ktk baraza la maskauti tanzania. Then chungulia bungeni : Mzindakaya, shelukindoz, Kigodas, Kahamas, Lusindes, Kawawas, Sokoines, Pindas, ect...

Tuambie hawa waliachiana au gawiana wapi then njoo tujadili...!!

BTW bora hata hao maana wamewapa watu na kazi yao bungeni inaonekana (magamba wanaijua vizuri) kuliko kujaza wauza unga na huyo waziri mvuta bangi anayesinzia kila siku..!!

Nilitafakari kuhusu upendeleo wa wazi aliofanya Tundu kumpa ubunge dada yake.
Ilihali CDM imeshinda jimbo moja tu Singida.
OTIS
 
Nazipata sana:
1.uwe na umri wa miaka 21+
2.ujue kusoma na kuandika

Safi sana,kumbe wajua.
Haya hebu tueleze Singida nzima hakuna mwanamke mwanachama wa CDM mwenye 21+ of age na anaejua kusoma na kuandika zaidi ya dada yake Tundu?
OTIS
 
Nilitafakari kuhusu upendeleo wa wazi aliofanya Tundu kumpa ubunge dada yake.
Ilihali CDM imeshinda jimbo moja tu Singida.
OTIS

Mbona Morogoro imetoa viti maalumu wawili na hawana mbunge wa kuchaguliwa hata mmoja wa CDM,.Ka hoja yako ni hiyo ya mkoa kushinda majimbo mengi ndo utoe vit maalumu basi viti maalumu viendelee kubaki kaskazini
 
ndugu yngu wanawake wa pale singda wamejawa na uoga hata wewe unaweza kusaidiana na dada yako kumsaidia mnyonge anayeonewa na jirani yako na cyo kuwa naundugu huo kwako ni mtadhamo wa kizanifu usiokuwa na maana na mbowe kuoa kwa mtei cyo kigezo nadhan inabid ujaribu kuacha kuupotosha umma hususani wanachama wa chadema.
 
CDM wana kiti kimoja cha jimbo singida.
Tundu akampa Dada yake nafasi moja iliyopatikana baada ya yeye kushinda
Kama ndio utaratibu basi wekeni wazi na mie nikishinda nimpe mke wangu.
OTIS
 
ndugu yngu wanawake wa pale singda wamejawa na uoga hata wewe unaweza kusaidiana na dada yako kumsaidia mnyonge anayeonewa na jirani yako na cyo kuwa naundugu huo kwako ni mtadhamo wa kizanifu usiokuwa na maana na mbowe kuoa kwa mtei cyo kigezo nadhan inabid ujaribu kuacha kuupotosha umma hususani wanachama wa chadema.

Utafiti gani ulifanya.
OTIS
 
Safi sana,kumbe wajua.
Haya hebu tueleze Singida nzima hakuna mwanamke mwanachama wa CDM mwenye 21+ of age na anaejua kusoma na kuandika zaidi ya dada yake Tundu?
OTIS

NADHANI HII CV ITAJARIBU KUKUSHAWISHI..KWA NINI YEYE NA SIO WENGINE
First Name: Christina Middle Name: Lissu Last Name: Mughwai Member Type: Special Seat Constituent: No Constituency Political Party: CHADEMA Office Location: Box 13618, Dar Es Salaam Office Phone: +255 783 594805/+255 754 594803 Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth EDUCATIONS School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level Mahambe Primary School Primary Education 1978
1984 PRIMARY Weruweru Secondary School O-Level Education 1985
1988 SECONDARY Kilakala Secondary School A-Level Education 1989
1991 HIGH SCHOOL University of Dar Es Salaam BA (Economics) 1993
1996 GRADUATE Open University of Tanzania MBA(Marketing) 2007
2010 MASTERS DEGREE Boston University, USA Short Courses 2006
2006
 
Mchango upi zaidi ya kuwa dada wa Tundu?
OTIS

Nimekuuliza unitajie/tutajie mwanamke/wanawake wa Singida wanachama wa CDM aliyenyimwa/walionyimwa ubunge wakati wana sifa kuliko dada yake Lissu umeshindwa kujibu. Sasa nikikwambia wewe ni mtu mwenye chuki binafsi ntakuwa nakosea?
 
An intelligent enemy is better than a stupid friend.:banplease: una jipya OTIS :hurt: upo kiudaku sana a.k.a mzee wa majungu

Ndugu cjui huyu jamaa kakosa kazi ya kufanya!> hivi hawa awatazami? >Abdalah kigoda, Anna Abdalah> ali Mwinyi, Husen Mwinyi> Karume , karume na wengine wengi 2.
 
Ndugu cjui huyu jamaa kakosa kazi ya kufanya!> hivi hawa awatazami? >Abdalah kigoda, Anna Abdalah> ali Mwinyi, Husen Mwinyi> Karume , karume na wengine wengi 2.

Nimeuliza kwa kuangalia CDM wanaodai usawa kumbe ndani wanafiki watupu.
Mchakato wa viti maalumu CCM upo wazi,CDM kuna usiri sana.
OTIS
 
Samweli Sitta<Magreth Sitta, Jakaya Kikwete<RIZ 1 kikwete, Adam Malima<Kigoma Malima acheni kuongelea upuuzi kama huu kama vp haya yapeleke Fb.
 
Achilia mbali mkoa na hata kanda, if it takes a single family to do what CHADEMA has done this country sioni shida. Ni vema mtoa mada na watu wenye mawazo kama yake waelewe kwamba kinachopiganiwa hapa ni viongozi wachapakazi na waadilifu. Wawe wametoka kanda moja, mkoa mmoja na hata familia moja cha muhimu ni kufanya kazi kwa mujibu sheria na taratibu zilizowekwa, kutenda haki kwa watanzania wote. Huu utaratibu wa kuweka 'wachapa usinginzi' sehemu za kazi i.e bungeni kwa kisingizio cha kugawana madarakana kwa maoni yangu ni criminal offense.

Haiwezekana unampa mtu madaraka kwa sababu tu katoka sehemu fulani, au ni wa jinsia fulani. Kujificha kwenye hoja kama hizi ni kufilisika kisiasa. Watu wanalipa kodi ili kuwaandalia 'viongozi' ofisi nzuri za kulala! Sio haki!
 
..Na inakuhusu au uma nn, maana mmeshakimbia hoja yenu ya awali ya ukabila, udini, na upendeleo wa ndugu baada ya kuwaonyesha kuwa kama ni upendeleo basi CCM inaongoza.... !!

Try something else, Tundu gari kubwa kwa hili mmenoa. Tena afadhali hata yeye dada yake, hivi utafananisha na hao waimba kwaya (wanaojifanya walokole mchana lkn usiku wanapigisha kama kawa..?) au huyo Vailet Mzindakaya aliyekula F kila somo na kuambulia sifuri ? lol

Nilitafakari kuhusu upendeleo wa wazi aliofanya Tundu kumpa ubunge dada yake.
Ilihali CDM imeshinda jimbo moja tu Singida.
OTIS
 
Achilia mbali mkoa na hata kanda, if it takes a single family to do what CHADEMA has done this country sioni shida. Ni vema mtoa mada na watu wenye mawazo kama yake waelewe kwamba kinachopiganiwa hapa ni viongozi wachapakazi na waadilifu. Wawe wametoka kanda moja, mkoa mmoja na hata familia moja cha muhimu ni kufanya kazi kwa mujibu sheria na taratibu zilizowekwa, kutenda haki kwa watanzania wote. Huu utaratibu wa kuweka 'wachapa usinginzi' sehemu za kazi i.e bungeni kwa kisingizio cha kugawana madarakana kwa maoni yangu ni criminal offense.

Haiwezekana unampa mtu madaraka kwa sababu tu katoka sehemu fulani, au ni wa jinsia fulani. Kujificha kwenye hoja kama hizi ni kufilisika kisiasa. Watu wanalipa kodi ili kuwaandalia 'viongozi' ofisi nzuri za kulala! Sio haki!

Hakuna kitu hapa.
Vumbi tupu.
OTIS
 
Back
Top Bottom