Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

Hakuna wanawake wengine wanachama wa CDM mkoa mzima wa Singida zaidi ya dada yake?
OTIS
Mwandishi huyu atoe data ni wanawake wangapi waligombea nafasi hiyo na kura zao zilikuwaje na upendeleo anaosema unatokana na nini.Huyu jamaa hajui kuwa baadhi ya maeneo kumpata mtu wa kugombea Chama cha upinzani ni shida sana na ndiyo maana baadhi ya maeneo kulikuwa hakuna Wagombea wa vyama vya upinzani katika nafasi mbalimbali? Kama kulikuwa hakuna mgombea na nafasi ipo wagombea wanaogopa kwa nini asimshawishi mtu anaemsikiliza achukue nafasi hiyo kuliko kubaki haina mtu.Nafikiri sasa ni wakati wa kuandika kama watu wazima na si magamba ya watu
 
OTIS unaumwa nini mkuu ama ndo hivyo tena uvccm kutishiwa mmekosa hata kumbukumbu? umeambiwa ukafatilie waliokuwa kwenye shortlist ya CDM mkoani Singida alafu achilia mbali katiba inasemaje kuhusu Mbunge,nenda pia kasome taratibu za CDM ktk kutafuta viongozi wake make ni jukumu la chama na ni kulingana na vigezo vyao wanatafuta viongozi bora na si bora viongozi,ukishapata hyo shortlist nenda ukapitie zile criteria 8 za CDM ktk kupata w.wa v.maalum alafu na wewe pitia taratiiibu baadae utaelewa ni nini kinampa Lissu nafasi ya kupita

Yaweza asiwe navyo vyote 100% lakini akawa anawaongozea wenzie katika hireachy ya standards...tafuta mkuu usisubiri tuje hapa tukuletee,tuna majukumu mengi sie..Ebhoo!

Rweye. Huyu jamaa ameanzisha thread yake ili kumchafua dada yake Lissu. Licha ya kuambiwa vigezo vilivyotumika bado anaendeleza ubishi bila kutuonyesha ushahidi ni mwanamke gani toka Singida alikuwa na vigezo zaidi ya dada yake Lissu aligombea na alinyimwa nafasi.
 
Mbona watu mnaacha issue ya kujadiliwa na mnaingia kwenye matusi na kupoteza mada. Mtoa mada anaonyesha eneo ambalo CDM wanatakiwa walirekebishe mapema kabla alijawa donda ndugu nyie mnafinya mada na kuonekana haina maana.
Issue iliyohapo juu ni nzito ambayo CDM wanatakiwa kuondokana nayo au uongozi wa juu wa CHD uombe radhi WAtanzania kwa kukumbatia undugu na ukanda.Sio kila mtu anayetofautiana na mtazamo tofauti na wako ni adui.Tanzania ni ya kwetu sote ana CDM ni ya kwetu sote.
 
OTIS hoja imesomeka lakini ina mapungufu makubwa,mtoa hoja sidhani kama ulifuatilia njia zilizotumika kupata wabunge wa viti maalum kutoka chadema.na zoezi zima lilifanyika viwanja vya sabasaba(mwl Nyerere)sasa nakupa home work ufuatilie ujue cliteria gani zilitumika.Kingine sijui kama unafahamu kuna wanawake wangapi wasomi walioko chadema na ambao walijitokeza kuomba nafasi,maana elimu ilitumika kama kigezo.na hata hivyo bado wanawake wengi wameathiriwa na upotoshaji wa CCM juu ya vyama vingi,na ndio maana mwitiko bado ni mdogo,sasa wale waliojitokeza na wakameet vjgezo ndo walichaguliwa,ila fuatilia ujue cliteria zilizowekwa kuwapata wabunge viti maalum sio kuropoka na kulete hoja ambazo ni hafifu

inamaan jimbo zima msomi ni yeye 2,chadema ni chama cha ukabila,undugu na ukooo,njoo mosh uje ona co unaropoka
 
inamaan jimbo zima msomi ni yeye 2,chadema ni chama cha ukabila,undugu na ukooo,njoo mosh uje ona co unaropoka
Nyie mnaolalama mko ccm kwa maslahi mnaogopa kuingia upinzani, inapotokea familia chache zimejitoa mhanga kwa hali na mali mnabwabwaja kutaka wangewaita kwa vigezo dhaifu vya kubalance makabila na dini. Wewe umewahi kugombea CDM ukachakachuliwa? Au ni zile kelele za kuhesabu wachaga ndani ya CDM.
 
Ane malecela+joni malecela, beatrice sheukindo,hawa ghasia, mage sita+samwel sita, januari makamba+yusuf makamba, nape nnauye+moses mnauye, job lusinde+livingstone lusinde ana abdala+ pius msekwa. Hawa je ni kina nani nyani haoni masaburi yake.
 
Back
Top Bottom