Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

Nimeuliza kwa kuangalia CDM wanaodai usawa kumbe ndani wanafiki watupu.
Mchakato wa viti maalumu CCM upo wazi,CDM kuna usiri sana.
OTIS

unajua cc watanzania tuna matatizo sana! Haujui CDM wanatumia mfumo gani kupata viti maalum unapata waji ujasiri wa kuongelea Ukabila wao, undg wao n.k! Ungejaribu kuchunguza kwanza
 
..Na inakuhusu au uma nn, maana mmeshakimbia hoja yenu ya awali ya ukabila, udini, na upendeleo wa ndugu baada ya kuwaonyesha kuwa kama ni upendeleo basi CCM inaongoza.... !!

Try something else, Tundu gari kubwa kwa hili mmenoa. Tena afadhali hata yeye dada yake, hivi utafananisha na hao waimba kwaya (wanaojifanya walokole mchana lkn usiku wanapigisha kama kawa..?) au huyo Vailet Mzindakaya aliyekula F kila somo na kuambulia sifuri ? lol

Wajua elimu ya mwenyekiti wako?
OTIS
 
unajua cc watanzania tuna matatizo sana! Haujui CDM wanatumia mfumo gani kupata vita maalum unapata waji ujasiri wa kuongelea Ukabila wao, undg wao n.k! Ungejaribu kuchunguza kwanza

Elezea mchakato wake hapa na nikuoneshe matundu yake.
OTIS
 
NADHANI HII CV ITAJARIBU KUKUSHAWISHI..KWA NINI YEYE NA SIO WENGINE
First Name: Christina Middle Name: Lissu Last Name: Mughwai Member Type: Special Seat Constituent: No Constituency Political Party: CHADEMA Office Location: Box 13618, Dar Es Salaam Office Phone: +255 783 594805/+255 754 594803 Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth EDUCATIONS School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level Mahambe Primary School Primary Education 1978
1984 PRIMARY Weruweru Secondary School O-Level Education 1985
1988 SECONDARY Kilakala Secondary School A-Level Education 1989
1991 HIGH SCHOOL University of Dar Es Salaam BA (Economics) 1993
1996 GRADUATE Open University of Tanzania MBA(Marketing) 2007
2010 MASTERS DEGREE Boston University, USA Short Courses 2006
2006

Kuwa na masters ndio kigezo?
Inaonesha hujui sifa za kuwa mbunge ni zipi mkubwa.
OTIS
 
OTIS hoja imesomeka lakini ina mapungufu makubwa,mtoa hoja sidhani kama ulifuatilia njia zilizotumika kupata wabunge wa viti maalum kutoka chadema.na zoezi zima lilifanyika viwanja vya sabasaba(mwl Nyerere)sasa nakupa home work ufuatilie ujue cliteria gani zilitumika.Kingine sijui kama unafahamu kuna wanawake wangapi wasomi walioko chadema na ambao walijitokeza kuomba nafasi,maana elimu ilitumika kama kigezo.na hata hivyo bado wanawake wengi wameathiriwa na upotoshaji wa CCM juu ya vyama vingi,na ndio maana mwitiko bado ni mdogo,sasa wale waliojitokeza na wakameet vjgezo ndo walichaguliwa,ila fuatilia ujue cliteria zilizowekwa kuwapata wabunge viti maalum sio kuropoka na kulete hoja ambazo ni hafifu
 
Mkubwa,usitake kupotosha ukweli hapa.
Viti maalumu vinakuwa allocated kulingana na ushindi wa chama husika,na concern yangu hapa ni kujua kwanini mkoa wa singida wampe dada yake Tundu na kuna maelfu ya wanawake wanachama wa CDM?
OTIS
 
Hakuna wanawake wengine wanachama wa CDM mkoa mzima wa Singida zaidi ya dada yake?
OTIS
Hapo kwenye red, utuambie kama kuna mwanamke mwenye sifa na akanyimwa nafasi. Sifa ya kupata nafasi aliyopata Christiana siyo kuwa na ukea na kwamba ni ndugu yake Tundu Lissu. jiulize mwenyewe kama christina alipendelewa au kama kuna mwanamke mwingine alionewa katika kutoa nafasi hiyo. Vinginevyo haitakuwa ni demokrasia kumnyima Christina nafasi aliyopewa eti kwa sababu Lissu ni kaka yake. Ni uzandiki wa aina yake kama watu watanyimwa nafasi za uongozi kwa hofu ya undugu.
 
Nimesema sifa za kuwa mbunge haraka haraka ni uwe na miaka 21+ na ujue kusoma na kuandika.
Hizo sifa zipo kwenye familia ya Lissu pekee?
OTIS
 
Elezea mchakato wake hapa na nikuoneshe matundu yake.
OTIS

OTIS umejaribu kujenga hoja lakini umeendeleza viroja vile vile vya Wabunge wa CCM na CuF dhidi ya CDM.

Nakusaidia kuweka rekodi sawa: Mtei 'alimrithisha' Bob Makani (Msukuma na Muislam) kuwa Mwenyekiti na si Mbowe, Mbowe alimpokea Bob Makani.
 
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe.
Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila ndani ya CDM
Zitto kabwe nae alipigwa sana vita baada ya kutaka kugombea uenyekiti wa CDM.Kiongozi wa shughuli hii alikuwa Mzee Mtei ambae ni mkwe wa Mbowe.
Kubebana huku kumeenda hadi CDM mikoa mingine.
Mathalani,Tundu Lissu alicheza kete dada yake akapewa ubunge wa viti maalumu.
Angalia vichekesho hivi.

1.Hawa ni ndugu wa damu,angalia majina yao
Tundu Mughwai Lissu na Christina Mughwai Lissu.

2.wote wamesoma wamesoma mahambe primary school.
Tundu,76-82 Christina kasoma 78-84

Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
CDM ina safari ndefu sana
OTIS

pamoja na kwamba tunakubali kazi zao, lakini ni mhimu kuhoji ili tupewe majibu. OTIS umeonesha, ni wajibu wao kuja kutujibu kwani nakereka sana kusikia habari hizi.

Naunga mkono hoja, na niwatahadharishe wale washabiki wa CDM, wasiewe washabiki bali wawe wapenzi wa CDM. Mpenzi wa kitu, akiona jambo haliko sawa, anaonya, anatahadharisha, anakemea na anawataka wahusika wajirudi na waache tabia ya kibaguzi

OTIS umejaribu kujenga hoja lakini umeendeleza viroja vile vile vya Wabunge wa CCM na CuF dhidi ya CDM.

Nakusaidia kuweka rekodi sawa: Mtei 'alimrithisha' Bob Makani (Msukuma na Muislam) kuwa Mwenyekiti na si Mbowe, Mbowe alimpokea Bob Makani.
Aksante kutuza hilo, endelea kujibu hoja nyingine tafadhali hasa hii ya Lissu's Family ndani ya chama
 
Nimesema sifa za kuwa mbunge haraka haraka ni uwe na miaka 21+ na ujue kusoma na kuandika.
Hizo sifa zipo kwenye familia ya Lissu pekee?
OTIS
Wewe unazo? je, uligombea nafasi hiyo? Malalamiko yako ni kuwa kwanini fulani alipewa lakini husemi kwanini fulani alikosa. Unachotaka kusema bado haina maana kwa sababu hujatuambia kwamba wewe ulikosa kwa sababu wewe huna undugu na Lissu ila unalalamika kwa sababu tu Christinina alipewa.
 
OTIS umejaribu kujenga hoja lakini umeendeleza viroja vile vile vya Wabunge wa CCM na CuF dhidi ya CDM.

Nakusaidia kuweka rekodi sawa: Mtei 'alimrithisha' Bob Makani (Msukuma na Muislam) kuwa Mwenyekiti na si Mbowe, Mbowe alimpokea Bob Makani.

Nakubaliana nawe ktk hili mkubwa kuwa Mbowe alirithi chama kutoka kwa Bob Makani.
Lakini kumbuka wakati Makani ni mwenyekiti Mbowe na Mtei walishaanza ziara Nchi nzima.
Hapo huoni inaleta shaka? achilia mbali hilo,Je la Mbowe kuwa mkiti kuoni kuna dalili za mchezo uliofanywa na Mkwe wake?
La zitto kabwe kuambiwa aache kugombea na kamati ya wazee chini ya Mtei ni sahihi?
La Tundu kufanya mpango dada yake awe mbunge wa viti maalumu nalo hulioni?
OTIS
 
Siasa bana! Utafikiri hayo yako CDM peke yake:

Ali Hassan Mwinyi >>> Dk Hussein Mwinyi
Yusuf Makamba >>> January Makamba
Abeid Aman Karume >>> Aman Abeid Karume
Mosse Nnauye>>> Nape Nnauye
Kighoma Malima >>> Adam Malima
Julius Nyerere >>> Makongoro Nyerere
Sokoine >>> Binti Sokoine

Na listi inaendelea

Yale yale!!!
 
pamoja na kwamba tunakubali kazi zao, lakini ni mhimu kuhoji ili tupewe majibu. OTIS umeonesha, ni wajibu wao kuja kutujibu kwani nakereka sana kusikia habari hizi.

Naunga mkono hoja, na niwatahadharishe wale washabiki wa CDM, wasiewe washabiki bali wawe wapenzi wa CDM. Mpenzi wa kitu, akiona jambo haliko sawa, anaonya, anatahadharisha, anakemea na anawataka wahusika wajirudi na waache tabia ya kibaguzi

:poa:poa:poa:poa:poa
OTIS
 
Nimesema sifa za kuwa mbunge haraka haraka ni uwe na miaka 21+ na ujue kusoma na kuandika.
Hizo sifa zipo kwenye familia ya Lissu pekee?
OTIS

Naona sasa unatafuta sababu zisizo na msingi, hadi kuna comment kn mtu alikutusi. Manake unaelezwa unalazimishwa kutoelewa..umeulizwa ka unaona kapendelewa mtaje mwanamke aliyekuwa na sifa zaidi yake akanyimwa,we umebaki kuhisi kwa kuuliza ka hamna mwanamke mwngn angechukua nafasi..Nahisi sasa unataka 2jaze comments kwny thread yako
 
Wewe unazo? je, uligombea nafasi hiyo? Malalamiko yako ni kuwa kwanini fulani alipewa lakini husemi kwanini fulani alikosa. Unachotaka kusema bado haina maana kwa sababu hujatuambia kwamba wewe ulikosa kwa sababu wewe huna undugu na Lissu ila unalalamika kwa sababu tu Christinina alipewa.

Unaona karibu sana,hebu tafakari mchakato wa kupata wabunge viti maalum cdm ulivyofanyika utanielewa.
OTIS
 
pamoja na kwamba tunakubali kazi zao, lakini ni mhimu kuhoji ili tupewe majibu. OTIS umeonesha, ni wajibu wao kuja kutujibu kwani nakereka sana kusikia habari hizi.

Naunga mkono hoja, na niwatahadharishe wale washabiki wa CDM, wasiewe washabiki bali wawe wapenzi wa CDM. Mpenzi wa kitu, akiona jambo haliko sawa, anaonya, anatahadharisha, anakemea na anawataka wahusika wajirudi na waache tabia ya kibaguzi

Hoja ya msingi ni nini? Je, kuna taratibu zozote zilizopindishwa ili Christina awe mbunge? Je, utaratibu upi ulipindishwa ili Christian awe mbunge? ubaguzi unaoutaja uko wapi?
 
Naona sasa unatafuta sababu zisizo na msingi, hadi kuna comment kn mtu alikutusi. Manake unaelezwa unalazimishwa kutoelewa..umeulizwa ka unaona kapendelewa mtaje mwanamke aliyekuwa na sifa zaidi yake akanyimwa,we umebaki kuhisi kwa kuuliza ka hamna mwanamke mwngn angechukua nafasi..Nahisi sasa unataka 2jaze comments kwny thread yako

Matusi wajua ndio hoja zenu.
Unataka nikltajie majina ya wanawake wenye miaka 21+ na wanaojua kusoma na kuandika wanachama wa cdm mkoa wa Singida?
OTIS
 
Back
Top Bottom