Updates zoezi la kuzima simu bandia

swala sio brand, swala ni je simu yako ni genuine? zipo samsung s6 fake, na wengine wamenunua kwa bei ileile ya simu genuine
 
Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.

Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!

Simu haina imei afu ikamate mtandao?kadanganye wenzako wa special diploma $#€z¥ kabisa
 
bongo technolojia ipo chini sana hakuna aliyezimiwa simu,
 
Unategemea waliozimiwa kurejesha mrejesho kwa njia ipi?
 
Mimi simu yangu isiyo na IMEI kabisa bado inadunda na kushika mtandao kama kawaida hadi hii mida 00:07. Vipi wewe imepoteza network ya kwako?
Kichwa maji wewe hiyo simu ambayo haina IMEI inashikaje net work? Kawadanganje wajinga wenzio..
 
wakuuu tunaomba mrejesho kwa waliofanikiwa kuzimiwa simu na TCRA watuambie nini hasa kimetokea baada ya kuzimwa
Ni ngumu kupata mrejesho kwakuwa hawako hewani!yeyote unayemuona hewani jua simu yake haijakatiwa mawasiliano(sio kuzimwa)
Yani ni sawa na kumwambia marehemu ashuhudie jambo la kidunia
 
Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.

Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!
Acha uongo wewe simu haina IMEI inashika vipi network?
 
Ikiwa mtu anatumia simu fa ke, kuna uwezekano mkubwa wa kutomiliki pc, so ni vigumu kuleta mrejesho, vinginevyo tusubiri ubuyu toka kwa wapambe, wataripoti kwa niaba yao
Hapa ni sahihi Kabisa
 
sijatumbuliwa tcra bhanaa walikuwa wanatisha zaidi hata ya simba
 
Kwa wale ambao wana simu fake na bado zinafanyakazi tafadhari waziwasilishe kwa wazimaji haraka sana iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…