MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
barabara ya moshi arusha hakuna mfuasi wa ccm ndugu yangu!
Usemayo ni kweli mkuu jana nimeona hiyo hali. CCM wamebaki na Washiri ambao ni powerless
barabara ya moshi arusha hakuna mfuasi wa ccm ndugu yangu!
Wewe ndiyo huwajui Wameru tulia, Wameru hawajawahi kuongozwa na chama tofauti na CCM tutakutana jioni humu JF.
hata mie nilifikiri ni cku ndio imeleta izo taarifa kumbe ni kweli ila atleast kuna jamaa mmoja amekamatwa na kuhusishwa na hayo mashambuliziTunashukuru kamanda kwa tarifa hiyo ila huku mwanza wabunge wetu ilemela ukerewe wamevamiwa na kuumizwa vibaya hasa kiwia hali yake siyo nzuri
CCm ccm aaaaa aaaa chama cha mapinduzi ccm namba wani ushindi unakujaaaaaaaa!
Ndugu zangu wana jamvi,inabidi tufikie sehemu tukubali ubunifu wa baadhi ya viongozi nchini,hasa hili la CHADEMA kuzungusha helkopta yao hewani CCM watakuta mpira uko nyavuni kwa sababu zifuatazo kwa ufupi:
1. katika chaguzi za karibuni helkopta imeonekana kama ni alama ya chadema so ni kama bado CHADEMA wanaendeleza mashambulizi wakati ccm wamejikunyata wakidhani helkopta inalinda kura,kifupi helkopta iko kuhamasisha zaidi wana CHADEMA wakafanye mambo kwenye box la kura
2. Uwepo wa helkopta utapunguza hujuma kwa kiasi kikubwa hasa kwa vituo vilivyo mafichoni kwani helkopta inaweza kufika eneo la tukio ndani ya muda mfupi baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wakala
Kwa kifupi uwepo wa helkopta leo utaamsha walolala na utasababisha watu wasahau uwepo wa CCM arumeru kwa kipindi chote cha kampeni! CCM hapo vp? mkishangaa mtaokota mpira nyavuni
jumapili njema
safi sana mbilinyi na mzee meya huo ndio uongozi sio kukaa ofisini kama wana ccmmwenyekiti wa kijiji cha akheri amewekwa chini ya ulinzi baada ya kukutwa anawaelekeza watu kumpigia mgombea wa ccm kura.hili limewezekana baada ya mh mbunge joseph mbilinyi na meya wa manispaa ya kigoma kupitia pitia maeneo ya kituo cha kupigia kura shule ya msingi akeri.
Kweli wajinga wali wao.Siku zote kampeni zikiisha fungwa siku yakupiga Kura hakuna chama kinacho ruhusiwa kutumia vyombo vya chama au nguo kuhamasisha wapiga kura, ukifanya hivyo umekiuka sheria ya uchaguzi
kweli huyo magamba mbumbumbu as hajui kama chama chake 1995 waliibathats why wewe mfuasi wa magamba, umbumbu ni mbaya sana, 1995 alishind mpinzani.
kwani hiyo helkopta ina alama ya Chadema? je inamaana siku ya uchaguzi vyombo vya anga haviruhusiwi kusafiri!Kweli wajinga wali wao.Siku zote kampeni zikiisha fungwa siku yakupiga Kura hakuna chama kinacho ruhusiwa kutumia vyombo vya chama au nguo kuhamasisha wapiga kura, ukifanya hivyo umekiuka sheria ya uchaguzi
mwenyekiti wa ccm huko akheri amekamatwa live akijidai kuelekeza watu kuipigia kura ccm.alipoulizwa amesema ameagizwa kufanya hivyo na chama chake.sakata hili limetokea kwenye kituo cha shule ya msingi akheri.
Source:mahojiano kati ya sugu na matangazaji wa radio 5