Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,764
Wakuu, muwe na mipaka. Msitawaliwe na mawazo ya kizamani kwamba eti siku ya wajinga ni kuandika upuuzi tu kila mahali. Wenzenu walioianzisha huwa wanaishia saa nne asubuhi ili kuepusha madhara, na hata uongo wanaoandika ni ule wa kuleta usumbufu tu na sio kuleta hasara. Watanzania tubadilike, vinginevyo wajinga wachache kama hawa watatudumaza maendeleo yetu (kama yapo)
Hiyo sikukuu ni yako na familia yako acha werevu tuendelee kula nyuzi tartiiib