Waziri mkuu alishaongea na wanamtwara, kama hakuna aliyeelewa ni bora nguvu itumike kuliko kuacha mali zikaendelea kuchomwa moto na kuharibiwa na kuhatarisha amani ya mtwara na baadae tanzania. tuna vyombo vya dola kwa ajili ya kulinda amani acha vifanye kazi yake kwa wale wanaotaka kuiharibu.
Hizo habari za askari mbona sijazisikia kwenye vyombo vya habari?
Labda JWTZ lakini polisi ni waarfu. wauza bangi n.k.
Hizo habari za askari mbona sijazisikia kwenye vyombo vya habari?
Kikwete
asifikiri anaongoza familia yake, jeuri yake itamtokea puani, Busara
inahitajika katika kuongoza nchi, viongozi waliokosa busara na wasio na
heshima kwa wananchi hawana nafasi katika Jamii yetu. Wasifikiri hii
nchi ni yao, wajue kuwa nchi hii ni ya Watanzania kama wameshindwa
kuongoza waondoke hatuwalazimishi na hakuna aliyelazimishwa kuongoza hii
nchi.
Hizo habari za askari mbona sijazisikia kwenye vyombo vya habari?
Hizo habari za askari mbona sijazisikia kwenye vyombo vya habari?
Piga tu mwisho wa siku tutapata walengwa halisi...wito serikali simamieni amani kwa nguvu zote wasakeni hai majini waliopanga na kuhusika na uhaini huu.... Tuko ambao tunaasilika na vurugu hizi vipato vinapungua na hatuihitaji vurugu ni amani tu ..kamata wote watajitaja mbele ya safari huko
Ni jeshi la polisi au UCHAFU!!!!!!
To be presise mshale wa saa iliyosimama inasoma majira sawa mara nne kila masala 24.
Thanx for the wisdom. Mwenye kusikia na asikie mwenye ikuona na aone.
Kufuatia sekeseke ya Jana
mkoani Mtwara, Polisi leo wameamua kufanya revenge kwa kuvamia makazi ya
raia pamoja na kuvunja maduka, kuiba na kuchoma moto mali za raia.
Polisi wanachokifanya ni kuleta ubabe
kwa raia kwa vile jana baadhi waliuawa
Polisi wameonekana wakiingia kwenye majumba ya watu na kama wakimkuta
mke au watoto wanawapakipigo na kuwalazimisha wataje mkuu wa kaya alipo
na asipotaja kipigo kinaendelea. Aidha, kila kijana anayezurula
barabarani ni kwamba anakamatwa na kuwahishwa gerezani! Kwa utaratibu
huu, tunaweza sema kuwa jeshi la polisi limepoteza sifa ya kusimamia
usalama wa raia na mali zao na limekuwa chombo cha wizi na kutesa raia
kinyume kabisa na majukumu yao.
Napata shida kufahamu kuwa haya yote yanafanywa kwa faida ya raia au
nani hasa? Sidhan kama nguvu hizi zinazotumiwa sasa hivi zinalenga
kumnufaisha mtanzania kwa namna yoyote ile. Na wala sidhan kama hilo
bomba lisipofika Bagamoyo Tanzania itafirisika kiuchumi zaidi ya
tulivyofilisika sasa hvi. Chonde Serikali ya CCM mnachofanya sasa hivi
ni vurugu na ukatili kwa raia wenu, tena raia ambao 2015 mtataka kupanda
majukwaani kuwaomba kura zao. Inafaa mtumie akili ya kawaida tu kujua
kuwa, dhurma kamwe haitashinda. Na uongozi dharimu huondoka kwa
aibu.
piga tu mwisho wa siku
tutapata walengwa halisi...wito serikali simamieni amani kwa nguvu zote
wasakeni hai majini waliopanga na kuhusika na uhaini huu.... Tuko ambao
tunaasilika na vurugu hizi vipato vinapungua na hatuihitaji vurugu ni
amani tu ..kamata wote watajitaja mbele ya safari huko