ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,645
Sijawahi kumpigia kura yangu Kikwete, ok......
Tena nitake radhi, na usitake kuniharibia maombi yangu, ninayomuomba Mungu wangu juu ya taifa langu
Tena nitake radhi, na usitake kuniharibia maombi yangu, ninayomuomba Mungu wangu juu ya taifa langu
Tena nyie wanawake mkae kimya kabisa, si ndiyo nyie mlisema Handsome Boy mkampigia kura za kumwaga 2005 leo hii amegeuka kuwa mbaya?