Dr Ntinkutina.
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 309
- 55
Hata saa ya mshale iliyosimama kuna wakati inasoma majira Sawasawa
Do not fair because none of them can stop the time.
Hata saa ya mshale iliyosimama kuna wakati inasoma majira Sawasawa
katiba imewapa haki hiyo au ni ubabe, raia hao wasingekatalia gesi hiyo ila uporaji wa viongozi wetu umewapa mashaka kama wataambulia chochote wakiruhusu gesi kutoka, viongozi wetu ni majambazi wakubwa.wanashirikiana na jeshi la polisi kunyanganya mali za watanzania wote kwa manufaa yao binafsi. ndo maana wanamtwara hawana imani na viongozi waliopo kuwakabidhi mali hiyo kwani wanajua hawatafaidi tena. NAKUOMBEA MH.DR.WILBORD SLAA mungu akubariki ufike 2015 utuongoze kwa busara yako. kwa maana serikali ya ccm haina mbinu tena ya kututoa salama hapa tulipofikia
Hivi hili bomba la gesi wakilazimisha kulijenga bila suluhisho ili kupata ridhaa ya wananchi wa Mtwara, watakuwa wanalilinda masaa 24 kila siku kilometa zote toka Mtwara hadi Dar? Ni rahisi sana kuhujumu bomba la gesi litakapojengwa na hata kulilipua.
Viongozi wa Tanzania wana tatizo sana katika kufikiri na kufanya maamuzi constructive.
Amani inaanza kutoweka.
Slaa akiongoza nchii hii itakuwa ya ovyo kama Congo, believe me or not thats the reality..
Jamani Kikwete, yaani ndo umeamua kutufikisha hapa ulipotufikisha lol! sina hamu na wewe kabisa
Nadhani ni Wakati sasa Serikali itafakari upya mpango wake wa ujenzi wa bomba la gesi. Ni vyema iyo gesi ivunwe huko mtwara, plant ya kufua umeme ijengwe huko huko na kisha umeme usafirishwe kwa njia ya Nguzo.
Naamini gharama za kusafirisha gesi kwa bomba kuja Dar na kisha kujenga plant kwa ajili ya kufua umeme ni kubwa kuliko ujenzi wa Plant huko huko Mtwara. Wanamtwara wanataka kufaidi 'Multiplier effect' ya ujenzi wa plant ya kufua umeme huko Mtwara na sio kwamba hawataki Watanzania wengine wafaida matunda ya gesi.
After all, Annual maintanance ya Bomba ni kubwa kuliko Annual maintanance ya nguzo za Umeme. Tutafakari!
WEWE unaunga mkono gesi isitoke au? Madai yao walitaka umeme uzalishwe pale na grid ya Taifa ifike mtwara hilo swala halijabadilishwa umeme utazalisha mtwara according to PM na JK, sasa hiyo gesi isitumike kwa matumizi mengine baada ya kua purified kama wao wanavyotaka purification ifanyike mtwara ok itafanyika then what next au itasafirishwa kwa mapipa kusambazwa sehem zote za tanzania? kwani gesi haina matumizi mengine tofauti na UMEME? nashidwa kabisa kuelewa.yani nahisi najichnganya kabisa issue ya mtwara.Naomba niseme kitu kimoja, kuna hotuba ya vurugu za kwanza ilitolewa na waziri mkuu pamoja na rais wetu mwenyewe, kuwa gesi haiendi kokote, ndo vurugu zikaisha na watu wakasev katika vichwa vyao kuwa gesi ni mtwara, na mkapa katika hotuba zake nyingi tu anawaimiza wananchi gesi lazima ibaki mtwara, leo hii mnasingizia upinzani, lakini ukweli chanzo ni nyinyi wenyewe viongozi wa serikarini.
Ila kwanini gesi isiwe mtwara, najua na tunajua kuna watu wana 10% zao katika mradi huo na ndo maana wanataka bomba lijengwe, naunga mkono wanamtwara kazi ni ile ile mpaka kielewweke, harafu rahisi wetu unatoa hotuba ya kipumbavu, yani nakusikiliza bbc asubuhi mpaka naona aibu kusikia pumba ulizoandika, ungesikiliza msg watu wanazo kuchana ndo ungejua.
Viongozi wa serikali na watumishi wa dola mkoani Mtwara wakiulizwa wanapinga hili. Haya waje huku wasome.
- Mabasi 5 ya Champion yamebeba Wanajeshi yako njiani yanakuja.
- Serikali yatoa tamko yasema watu 91 wanashikiliwa.
- Bunge laahirishwa tena. Kupisha uchunguzi na kuepusha uchochezi kutoka kwa baadhi ya wabunge. (Kwa mujibu wa Spika)
- Maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi, Mikindani maaskari wanaingia majumbani mwa watu na kumsomba mtu yeyote ambaye ni mwanaume awe amehusika awe hajahusika na kumkamata. Pia inaripotiwa na uhalifu unafanywa na maaskari hao hao. Jambo linaloamsha hisia kwa wananchi.
- RPC anaongea na vyombo vya habari na kuwasihi wananchi waende makazini. Lakini kiuhalisia hali sio shwari.
- Mahakama ya mwanzo ya Mitengo imechomwa moto
- Mpaka sasa ni vita baina ya wananchi na maaskari. Mabomu yamesikika pamoja na milio ya risasi masaa 24. Na milio ya Risasi na mabomu inaendelea kusikika.
- Raia wapatao 7 wameripotiwa kufariki (wengine walipelekwa hospitali ya Ndanda Ndogo na mmoja ameripotiwa kupokelewa Ligula.
- Nyumba za viongozi zinaendelea kuchomwa moto.
- Majibizano baina ya Polisi na Raia yanaendelea maeneo ya Magomeni, Nkanaledi na Mikindani.
- Maduka yamefungwa na hakuna huduma zozote
- Barabara zimewekwa vizuizi magogo na matairi yamechomwa moto. Hakuna njia ya kupita.
Update: Mabomu yametulia. Hali ya ukimya imetawala.
Update:
- Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi.
- Afisa Usalama wa Taifa ambaye anamiliki nyumba ya wageni naye amevamiwa na kuporwa mali ikiwamo fedha katika gesti yake. Haijajulikana ni kiasi gani cha mali kilichopotea.
Source|:http://mtwarakumekucha.blogspot.com/
Hata saa ya mshale iliyosimama kuna wakati inasoma majira Sawasawa
Mamlaka hayo wameyapata kutoka kwa Kikwete, ambaye amesema wang'oe mpaka pembe, sio meno na kucha tu.
ahadi za utawapunguzia bei ya umeme wakati hata nyumba ya bati hawana, wamakonde wamedata.
hakuna busara mbele ya wahuni wewe,ulishaona wapi busara inatumika kumkabiri gaidi mwenye silaha na anayechoma majengo,hao ni risasi za moto tu na nguvu.
Slaa akiongoza nchii hii itakuwa ya ovyo kama Congo, believe me or not thats the reality..
Naona wewe dr wetu humtakii mema,yaani awe mfagiaji na uzee wote huo,si anaweza teguka kiuno,bora hata ungesema awe korokoroni,yaani yeye na kirungu kutwa getini.Huyu Dk Silaa labda awe mfagiaji tuu,siasa hajui huyo.............