hali hii ya kulazimisha hali ya Mtwara bila kutoa elimu ya kutosha na kuwasikiliza wana Mtwara itapelekea Serikal kupeleka kikos maalum kulinda bomba hilo.maana ni waz kama wananch wa Mtwara hawajapendezwa na ujenz wa bomba hilo hujuma nying zitafanyika na uharibif na hatarisho la maisha halitakwepeka. ni ngumu kuwalazimisha watu waliochoka na jambo flan.sasa serikal kwel itaweza kulilinda bomba hilo lililoua na kujeruh wanamtwara?