nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,254
....a very wise approach ya serikali ya JK ni kuwasikiliza watu wa Mtwara matakwa yao....kwa maana ya kuzuia ujenzi wa bomba mpaka yale yoote wanayodai Mtwara yafanyiwe kazi....yooote wayafanyie kazi ASAP....kabla ya yote...na waache maneno na kiburi kisicho na msingi.....Tz ys leo imebadilika sana...hili lazima JK na timu yake ya kina Muhongo walijue....wasifananishe haya na utulivu wa wana mererani(kwenye Tanzaniet)...au Geita(gold)..au Bulyankulu(Gold)....au kwingineko kwenye aslimali......huko watu si kwamba wanapenda yanayofanywa na serikali...bali wanavumilia tu.....na linaweza kuwa swala la muda pia....
.....Labda serikali ichuke mfano wa Nigeria....kule ambapo raia wa Delta region wanakopasua mabomba ya mafuta kwa kuwa hawasikilizwi na serikali.......
....Serikali iwasikilize na itatue mataizo ya Mtwara kabla ya kujenga hilo bomba.....na ikiwezekana gesi yote isafishiwe Mtwara......wasipofanya hivyo na wakalazimisha kujenga bomba.....wananchi watalipasua hakika....hata kama litajengwa baharini wananchi watalipasua tu....na itakua hasara kubwa kwa serikali.....hata kama litalindwa for 24 HRS ....raia hawa waliochoka watalinyemelea na kulipasua tu......TZ wakajifunze Nigeria....