CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Mbona sioni updates za magori?inamaana mnyama bado hatupia?siye hapa Misri tunajiandaa kuelekea uwanjani sasa,ila kuna kajiubariiiiidi.
jama tuache unazi,hii timu aibu,ndo tatizo la kuongozwa na CCM
Mbona sioni updates za magori?inamaana mnyama bado hatupia?siye hapa Misri tunajiandaa kuelekea uwanjani sasa,ila kuna kajiubariiiiidi.
Acha uongo wewe! game ya leo mashabiki hawaruhusiwi kwenda uwanjaniMbona sioni updates za magori?inamaana mnyama bado hatupia?siye hapa Misri tunajiandaa kuelekea uwanjani sasa,ila kuna kajiubariiiiidi.
Dah! Dkk ya 80 ,prison 0 vs simba 0! Mmmh!majanga!
Ahahahahaha.''....balaa tupu'', that is what i can say.
mkuu hii mechi tusiposhinda tujitoe kwenye kugombania ubingwa
Prisons kazeniii
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mie siyo shabiki,bali ni reporter kwa niaba ya JF.Acha uongo wewe! game ya leo mashabiki hawaruhusiwi kwenda uwanjani
prisons kazeniii
sent from my iphone using jamiiforums
Nitafute