Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
baba ubaya yupo chini baada ya kupata majeruhi
Kwa leo tuite majeraha.
baba ubaya yupo chini baada ya kupata majeruhi
Mkuu brave one hi ligi na Yanga wamo?maana siwasikii kucheza ligi hii,wao utasikia sijui Uturuki na leo nasikia wanacheza Misri.
they are too big kucheza hii ligi!
Mwakan tupo tena.nyie lin mtashiriki walau shirikisho?mkuu yanga wanakamilisha ratiba ya michuano ya kimataifa leo kwa kichapo then wanarud home kwenye ligi ya vodacom
Mwakan tupo tena.nyie lin mtashiriki walau shirikisho?
Itaisha kwa tim ya wananchi kuwa bingwa.na bingwa si ndio anashiriki michuano hiyo au?mkuu mwakani mpo ligi imeisha lini?
Halafu mbaya zaidi hata wakifungwa sokoine hakuna viti vya kung'oa.
Watafungwa tu wakibana sana watatoka sare.
Sisi tuwekeni nguvu usiku kwa raha zetu.
Hahahaaaaa!Timu yako ikiwa ya kimataifa bwana!
Itaisha kwa tim ya wananchi kuwa bingwa.na bingwa si ndio anashiriki michuano hiyo au?