Hiv kwa situation iliopo tunahitaj watu wa kariba ya shekh yahaya nawakat inaonyesha kabisa nini kinaendelea.mkuu umekuwa mrithi wa shekh yahaya?
Hawa Magereza mbona tunawachelewesha hivi?
Hiv kwa situation iliopo tunahitaj watu wa kariba ya shekh yahaya nawakat inaonyesha kabisa nini kinaendelea.
ligi bado sana mkuu usikariri
...cha ajabu eti wapenzi wote wa MCC wako upande wa Simba SC!
"masikini Tanzania Prisons!"
ligi bado sana mkuu usikariri
Saaaaaaaana tu nakubaliana na wee100%Droo ni ushindi kwa simba.