Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
hahahaa hawa ndiyo simba walisema mbeya city nguvu ya soda na itashuka daraja raundi ya 2

Mkuu ya Mbeya City waachiwe mbeya City...lakini katika vilabu hivi vya simba na Yanga kuna tatizo kubwa na structure ya labu...hizi klabu ni maskini hazina vitega uchumi kiasi kwamba watu binafsi wanakuwa wanazitumia kwa maslahi binafsi...Mfano Yanga kwa sasa utulivu uliopo ni kwa sababu ya fedha za manji....simba utulivu hakuna kwa sababu ya Utapeli wa Rage na kuvutana na kina hanspope....Laiti timu zingekuwa ni separate entity zinazoongozwa kama kampuni na zisitegemee individuals tungeweza kuona ahueni.....Tusitarajie miujiza...na leo tuwasubiri kandambili wakirudishwa home...wale ni wa hapa hapa pia
 
Puresha hii imekwisha bado puresha kubwa ya Alex Kizanda. AL AHLY VS YANGA
 
Ni half time si simba wala prisons imeona lango la mwenzie.
Updates...kipindi cha pili kimeanza.
Simba wanashambulia sana lango la prisons.mda wowote simba watapata bao hapa
Naona wamesha pata bao mda wowote na imefanikiwa kushinda ushindi wao wa droo.
 
Back
Top Bottom