Mimi sitashangaa matokeo ya sare Yanga v Ashanti au hata Yanga kufungwa.
Wanayanga wenzangu lazima tukubaliane kuwa kitendo cha uongozi kufumua benchi la ufundi bila ya sababu yoyote ya msingi haya ndiyo malipo yake.
Utamtimuaje kocha aliyetupa ubingwa, kocha aliyeiweka timu kileleni mzunguko wa kwanza na kocha ambaye alikuwa ameifanya Yanga hatimaye ianze kucheza mpira wake ule wa miaka ile wa kitabuni kama Barcelona??
Unspeakable stupidity and shortsightedness!!!
Kweli you are short-sighted!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tchao!!!!!!!