Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
ila katika Ratiba mchezo nambar 175 wa tarehe 23-04-2014 katika ya JKT Oljoro na Young Africans mbona unaonyweshwa unacheza uwanja wa Taifa na mwenyeji ni JKT Oljoro kulikoni?
 
Hii imetulia, ila ratiba ya Simba imekaa vibaya sana kwa mustakabari wa Rage, anatoka kucheza na Prison then Coast kisha Azam nina mashaka na usalama wa viti vya uwanja.
 
tulishaomba siku nyingi sticky thread ya vpl,yaani mpaka ianzishwe na mhaya mwenzao ndio mods wanakubali kuileta hapa! poor mods!!!!!!!!!
 
Hivi kwa nini tumeanza kua na utamaduni wa kulazimisha mechi za Simba na Yanga ziwe za Mwisho?
 
Mkuu,hii inatokana na ushabiki wa kijingwa na rushwa zinazotembea kwenye vyombo husika.Sioni maana ya usimba na uyanga hapa tz maana unadidimiza soka letu bongo.

Nachukia sana ushabiki wa simba na yanga na hawa wahisani wanaoleta mashindano ya mtani jembe kati ya simba na yanga,mimi binafsi nashabikia Kagera Sugar na najivunia kushabikia timu yangu hiyo.
 
kagera sugar imeanzishwa juzi tu, kabla ya mwaka 2000 wala haikuwepo, ina maana kabla ya kuanzishwa kwake wewe haukuwa na timu unayoishabikia hapa Tanzania?

NB: hata hao wachezaji wa kagera sukari timu unayoishabikia, nao wamegawanyika wapo wapenzi wa yanga na wa simba pia

Nimeanza kuishabikia kagera Sugar toka nipo mtoto tena enzi hizo ikiitwa RTC Kagera na hiyo miaka ya 2000 ilikuwepo sema jina tu ndo limechange.

Siku zote lazma ujali cha nyumbani mkuu,sioni fahari kushabikia simba na yanga wakati mkoa ninaotoka kuna timu ambayo hata simba na yanga wakikutana nayo wanaiogopa.

Kwa mwendo huu na watu wenye mawazo kama yako basi soka la bongo bado sana kukua.
 
me nashabikia timu ambayo kamwe haitokuja kushuka daraja, nayo ni yanga aka kiboko ya mwarabu

Nimeanza kuishabikia kagera Sugar toka nipo mtoto tena enzi hizo ikiitwa RTC Kagera na hiyo miaka ya 2000 ilikuwepo sema jina tu ndo limechange.

Siku zote lazma ujali cha nyumbani mkuu,sioni fahari kushabikia simba na yanga wakati mkoa ninaotoka kuna timu ambayo hata simba na yanga wakikutana nayo wanaiogopa.

Kwa mwendo huu na watu wenye mawazo kama yako basi soka la bongo bado sana kukua.
 
Hivi kwa nini tumeanza kua na utamaduni wa kulazimisha mechi za Simba na Yanga ziwe za Mwisho?
Ligi ni biashara, na wapenzi wengi wa soka Tanzania ni mashabiki wa hizi timu mbili, zikicheza mapema watu wanaona ligi imeishaisha. Halafu hii haijaanza leo kwa taarifa yako!
 
Safi MBEYA CITY FANYENI MAMBO TUZITOE HIZI TIMU 2 ZA KARIAKOO PALE JUU. AZAM NDO TUMEKAA PALE JUU HATUTOKI HADI UBINGWA.
 
Back
Top Bottom