Wamekuja na mbwembwe zao za huko Uturuki.Leo mabingwa watetezi lazima wakae.
Asante mkuu...kumbe bado unalitambua hilo la kuwa sisi ndio mabingwa watetezi.Leo mabingwa watetezi lazima wakae.
Wamerudi na bao zao 7.Leo mabingwa watetezi lazima wakae.
Ubingwa gani unao uzungumzia?Asante mkuu...kumbe bado unalitambua hilo la kuwa sisi ndio mabingwa watetezi.
Tunakuhaidi kuwa msimu huu pia tunachukua ubingwa..ili msimu ujao uendelee kutuita mabingwa watetezi!!
Huu huu, uliowafanya hadi mkaanzisha biashara ya visimbuzi!Ubingwa gani unao uzungumzia?
hizo goli 7 feki..zmesababisha wengne wajitoe fb'Wamerudi na bao zao 7.
Asante mkuu...kumbe bado unalitambua hilo la kuwa sisi ndio mabingwa watetezi.
Tunakuhaidi kuwa msimu huu pia tunachukua ubingwa..ili msimu ujao uendelee kutuita mabingwa watetezi!!
Usikonde Mkuu, mwaka huu lazima ubingwa utue ktk ardhi ya TEMEKE.Mkuu washabiki wa mpira wote wangekuwa na sober mind kama yangu ushabiki ungekuwa mzuri sana, call a spade a spade and not a big spoon. Nikichungulia naona vijana wa Chamazi wako vizuri na kwa nini sijui wanashindwa kuchukua ubingwa, hapa ndo huwa nakubali kweli kwenye mpira mbali na uwezo wa timu na bahati kuamua mshindi nadhani fitina nayo inahusika sana japo imejificha na kwa sababu hiyo kama sisi tutashindwa kuchukua basi huenda mkatetea kama kuku.
umenena vema mkuu. tatizo bongo kuna fitna..hao Azam, watasubr kdgo.Mkuu washabiki wa mpira wote wangekuwa na sober mind kama yangu ushabiki ungekuwa mzuri sana, call a spade a spade and not a big spoon. Nikichungulia naona vijana wa Chamazi wako vizuri na kwa nini sijui wanashindwa kuchukua ubingwa, hapa ndo huwa nakubali kweli kwenye mpira mbali na uwezo wa timu na bahati kuamua mshindi nadhani fitina nayo inahusika sana japo imejificha na kwa sababu hiyo kama sisi tutashindwa kuchukua basi huenda mkatetea kama kuku.
umenena vema mkuu. tatizo bongo kuna fitna..hao Azam, watasubr kdgo.
Mimi naamini tutatetea kama ulivyosema.
Hamkufungwa hizo goli 7?hizo goli 7 feki..zmesababisha wengne wajitoe fb'
Poa mkuu, nadhani na wewe ni mdau wa pale jangwani.nadhani hata mimi nitaiwahi hii mechi
mkuu, la beki wa kushoto nakubaliana na wewe, asilia LUHENDE sio beki.Timu yenu ni nzuri ila ina tatizo moja kama kocha atakuwa amelitatua kwenye safari ya Uturuki huenda mkafanya vizuri, kama huna macho ya kishabiki na ulikuwa unaangalia vizuri timu yenu ilikuwa na tatizo la kiungo mkabaji pamoja na beki wa kati hata beki wa kushoto naye hakuwa mzuri sana pamoja na kwamba alikuwa anajitahidi kupanda na kupiga krosi nyingi lakini huwa anafanya makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi kusaidia wakati mnaposhambuliwa hasa inapotokea counter attack, na kama hilo tatizo halijatatuliwa itakuwa ngumu sana kuzuia kufungwa mkikutana na timu yenye uchu wa magoli na kwa sababu washambuliaji wenu ni wazuri basi itakuwa kuwahiana atakayewahi kuwa na magoli mengi hadi dakika 90 basi ndo mshindi. Nikiangalia naona timu zote tatu zina nafasi ya kuchukua ubingwa, ningeweka nne lakini Mbeya City nafasi ya wao kuchukua ubingwa ni finyu ukilinganisha na Azam, Simba na Yanga.
ilikuwa dhidi ya timu gani mkuu?Hamkufungwa hizo goli 7?
Vp lakini kituo gani kinaonyesha hii mechi ya yanga