Hawa Ashanti nao mabwege kweli.
Dah! washachafua gazeti hao.Yanga 2-1 Ashanti
Hao MCC nawao wanapenda kufuatilia nyayo zetu sana, bora wasimamiswe kwanza.huko kagera
kagera 0 - 0 mbeya city
Wanabahati ya kike nini hao Mtibwa? Nilitegemea watakula mvua ya magoli leo hao.
Lakini Poa. Kwakua tushajihakikishia points 3 siombaya.ft azam 1 - 0 mtibwa
Tumewabunya kwi! Kwi! Kwi!Hawa Ashanti nao mabwege kweli.
mfungaji wa goli la pili nani?dk 39, kipindi cha2
Yanga 2-1 Ashanti
mfungaji wa goli la pili nani?
Teh teh teh teh!
Punguza jazba mmeshinda.Mimi sitashangaa matokeo ya sare Yanga v Ashanti au hata Yanga kufungwa.
Wanayanga wenzangu lazima tukubaliane kuwa kitendo cha uongozi kufumua benchi la ufundi bila ya sababu yoyote ya msingi haya ndiyo malipo yake.
Utamtimuaje kocha aliyetupa ubingwa, kocha aliyeiweka timu kileleni mzunguko wa kwanza na kocha ambaye alikuwa ameifanya Yanga hatimaye ianze kucheza mpira wake ule wa miaka ile wa kitabuni kama Barcelona??
Unspeakable stupidity and shortsightedness!!!
Mimi sitashangaa matokeo ya sare Yanga v Ashanti au hata Yanga kufungwa.