ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Labda unawazungumzia watoto wa zamani sio hawa wa leo.
umeona enheee
Labda unawazungumzia watoto wa zamani sio hawa wa leo.
Hii leo four 4 two labda Yanga wapite juu.moja - moja
Kama vp refa maliza mpira tu.dk 24 kipindi cha II
Yanga 1-1 Ashanti
Kibadeni aliapa akifungwa anajiuzuru.dk 29 kipindi cha2
Yanga 1-1 Ashanti
dk 29 kipindi cha2
Yanga 1-1 Ashanti
Mkuu vp Chamanzi complex mbona sielewi elewi?umeona enheee
Nani tena huyo?goooooo
halafu huyu hajaonekana cjui yupo wapi leo.Namtafuta mtu mmoja anaitwa MAKOYE MATALE atakae muona anishtulie.
Yanga 2-1 Ashanti
Nasikia wamepiga la pili.Kama vipi mpira uishe sasa.
Wanabahati ya kike nini hao Mtibwa? Nilitegemea watakula mvua ya magoli leo hao.dk 82 azam fc 1 - 0 mtibwa