Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Na leo kaapa kutofungwa na Yebo yebo, Kazi wanayo.Kibadeni na Ashanti yake wamewashika pabaya.
Na leo kaapa kutofungwa na Yebo yebo, Kazi wanayo.Kibadeni na Ashanti yake wamewashika pabaya.
Bila shaka umeiona au siyo!
Sikuzote mwanamke huwaigi kukojoa lakini mwisho wa mechi yeye ndio hutokaga uwanjani kichwa kikiwa kizito.Mbona mpo kimya kama mnakatwa magovi wakuu?
Anyway.
Dk 10: Ashant0-1Yanga.
Mfungaji nani?Mbona mpo kimya kama mnakatwa magovi wakuu?
Anyway.
Dk 10: Ashant0-1Yanga.
Wamechokoza nyuki Arafu hawana cha kujikingia, ngoja waone manundu watakayo tokanayo.Yanga 1-0 Ashanti
kwan hawajui basi??..ubishi tu!
Acha uchawi bhana!Wamechokoza nyuki Arafu hawana cha kujikingia, ngoja waone manundu watakayo tokanayo.
Labda unawazungumzia watoto wa zamani sio hawa wa leo.
Nilisha sema. Mwanamke huwaigi kukojoa kukojoa kilasiku.dk 15 ii
Yanga 1-1 Ashanti