Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Uturuki hawakufuata kitu ila walipeleka ndo maana walimwacha yule kiungo kwa sababu angemalizia mzigo njiani si unajua ana uzoefu na hivyo vitu. hahahahahaha usije kunitoa macho nilikuwa nawaza tu.
hahahaah! Wazee wa unga.
 
Mkuu sijaidharau ila nilichelea kuiweka kama mshindani kwa ajili ya ubingwa kwa sababu ya uchanga wake lakini pia kwa jinsi ilivyoperform kwenye kombe la mapinduzi.

uchanga siyo hoja kwenye soka..inategemeana na uchanga wenu mmejipanga vipi...pia kama ukiangalia kombe la mapinduzi basi hata yanga usiipe ubingwa kwa kufanya vibaya kwenye mechi za majaribio huko uturuki.....hata ma u mbona anafanya vibaya epl lakini anafanya vizuri klabu bingwa ulaya......
 
yanga hovyo kweli yaani wanacho weza ni kupeleka madawa ua kulevya uturuki...
 
uchanga siyo hoja kwenye soka..inategemeana na uchanga wenu mmejipanga vipi...pia kama ukiangalia kombe la mapinduzi basi hata yanga usiipe ubingwa kwa kufanya vibaya kwenye mechi za majaribio huko uturuki.....hata ma u mbona anafanya vibaya epl lakini anafanya vizuri klabu bingwa ulaya......
Mbona hujaongelea na fitina za soka la bongo?
 
Back
Top Bottom