mbeya city mbona unaidharau hivi......tunachukua ubingwa kwa taarifa yako
Mkuu sijaidharau ila nilichelea kuiweka kama mshindani kwa ajili ya ubingwa kwa sababu ya uchanga wake lakini pia kwa jinsi ilivyoperform kwenye kombe la mapinduzi.
mbeya city mbona unaidharau hivi......tunachukua ubingwa kwa taarifa yako
MTUNZA AMANI said:Dk 35 yanga 0:0 ashant utd
Kutakua na tatizo gani mechi hii ikiisha na matokeo haya haya?
Ndio maana walipo pigwa goli 7 kule ulaya vijijini walipiga marufuku waandishi wa habari kuripoti habari hiyooh!!!Jaman yanga hapa taifa inanyanyasika na ashant,dk 45 shut moja la niyonzima
Ahaaa...ahaaa, subr dk 90 mkuu, ndio useme hayo'Hiki ki'babu (Kibadeni) kitakuwa kichawi hk
Watawapiga marufuku waandishi wa habari kuiripoti hiyo habari.Haitakuwa nzuri sana, matokeo yanatakiwa kuwa yanga 0:1 ashant utd
Hiki ki'babu (Kibadeni) kitakuwa kichawi hk
Kule home vipi? bado hatuja vunja muwa mchanga?HT yanga 0 - 0 ashanti
Watawapiga marufuku waandishi wa habari kuiripoti hiyo habari.
mbeya city mbona unaidharau hivi......tunachukua ubingwa kwa taarifa yako
ni vizuri hiyo inaitwa turkish style..Yanga wananiudhi na kamtindo kao kapya kakupiga magoli kipindi cha pili.
Ahaaa...ahaaa, subr dk 90 mkuu, ndio useme hayo'
Kipindi cha pili ndio muda muafaka wa kuwaonyesha nn kilifuatwa uturuki...