Wamejitahidi mwaka jana walianza kwa kichapo toka kwa JKT Ruvu.full time yanga 0 prisons 0
Mmeanza na droo watani
Wamejitahidi mwaka jana walianza kwa kichapo toka kwa JKT Ruvu.full time yanga 0 prisons 0
Mmeanza na droo watani
sjakipenda kabisa hi kikosi sijui kama kitatupa matokeo ya kufraisha mwanzo wa ligi ndio unatwaribiaga yanga
full time yanga 0 prisons 0
Wamejitahidi mwaka jana walianza kwa kichapo toka kwa JKT Ruvu.
pole sana mwaka wenu huu kulaumiana na mwenyekiti wenu mhindi
Kweli, sijawahi kumuona mhindi akicheza au ktk uongozi wa timu kwenye ligi yeyote inayoeleweka duniani..
Inshallah....
Mpaka sasa tumepata kona 9 Prisons 2.....
8uhanuzi, Nizar na Juma Abdul wamekosa magoli ya wazi....
Sitaki ugomvi na mtu pls!Samahani mtani, nilikuchanganya na Mandieta.
Msimu huu si Yanga walisema wanakikosi kikali zaidi!!! inakuaje tena watoke drooo au Bahanuzi akupangwa leo?Wamejitahidi mwaka jana walianza kwa kichapo toka kwa JKT Ruvu.
Mbuyu na Kelvin hawakucheza....full time yanga 0 prisons 0
Mmeanza na droo watani
Mtani utaishia kugombana na screen tu mtu wa kugombana naye utampata wapi?Sitaki ugomvi na mtu pls!
Timu ya magazetini...YANGA...mnyama siku hizi anapiga tano tano..subirini
Hizi zote zimechezwa jana mkuu, za wikendi ijayo ni zipi?Mechi zinazofuata:
Mtibwa Sugar 24/10/12
- Kagera Sugar
Young Africans 24/10/12
- Polisi Morogoro
Coastal Union 24/10/12
- African Lyon
Azam 24/10/12
- Ruvu Shooting
Hizi zote zimechezwa jana mkuu, za wikendi ijayo ni zipi?
Mhhh Mphamvu why Pamoja??Pamoja na matokeo ya mechi za tarehe 24 Oktoba, msimamo wa ligi unasomeka kama ifuatavyo:
Rnk Team MP W D L Pts
1 Simba SC 9 5 4 0 19
2 Azam 8 5 3 0 18
3 Young Africans 9 5 2 2 17
4 Coastal Union 9 4 4 1 16
5 JKT Oljoro 9 3 5 1 14
6 Kagera Sugar 9 3 4 2 13
7 Tanzania Prisons 9 3 4 2 13
8 JKT Ruvu 9 3 2 4 11
9 Ruvu Shooting 9 3 1 5 10
10 Mgambo JKT 9 3 1 5 10
11 Mtibwa Sugar 8 2 3 3 9
12 Toto African 9 1 4 4 7
13 African Lyon 9 2 1 6 7
14 Polisi Morogoro 9 0 2 7 2