Tutakuepo taifa kulipa tafu chama letu la AZAM FC.
Mm nitawahi pale mida ya tisa nitakuepo ndani natafuta pozi ambalo mashabiki wa Lambalamba watakua wengi ili nipate kufaidi uhondo. Labda ni ku PM no Yangu unitafute ukiingia.
lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!Before the sturday's games? you are right!...tutarudi hapa kuongelea hii hoja yako baada ya games za kesho,au siyo Mtani?
lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!
Mtasubiri sana kushika nafasi ya kwanza lakini mnyama ndo ameshanogewa kuiachia sio rahisi labda raundi ya pili lakini sio hii, hizo mechi tatu mlizobakiza kukamilisha raundi ya kwanza mtafungwa moja, mtadroo moja na moja ndo mnaweza kushinda wakati sisi tutashinda zote na kuzidi kujikita kileleni.Cream (YASC) inaendelea kupanda kuelekea juu pale kwenye table wakati zile pumba (mtu na mchumbaake) zikianza kushuka taratibu.
Mtasubiri sana kushika nafasi ya kwanza lakini mnyama ndo ameshanogewa kuiachia sio rahisi labda raundi ya pili lakini sio hii, hizo mechi tatu mlizobakiza kukamilisha raundi ya kwanza mtafungwa moja, mtadroo moja na moja ndo mnaweza kushinda wakati sisi tutashinda zote na kuzidi kujikita kileleni.
.....hicho ni kimeo kinawanyemelea, labda Manji aachie fungu la walipa kodi lifanye kazi.Game ya mwisho raundi híi Coastal Union vs Yanga @Mkwakwani.
Sidhani kama timu ya wananchi itatoboa...
.....hicho ni kimeo kinawanyemelea, labda Manji aachie fungu la walipa kodi lifanye kazi.
lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!
no comment Sir!!The looser is AZAM.....au wewe unaona nani?
Nyie Watanzania,
Ligi za nje mnachagia na ku - Update lakini za hapa BONGO hakuna anayashughulika.
Nimewachoka.
Looser or loser??? Tumia lugha ya Taifa wewe!!lete taarifa sasa, mechi za Jumamosi zimeisha na Simba SC kaisha mgalagaza Azam 3-1, who is looser!!!
Rnk Team MP W D L Pts
1 Simba SC 11 6 5 0 23
2 Young Africans 11 7 2 2 23
3 Azam 10 6 3 1 21
4 Coastal Union 11 5 4 2 19
5 Kagera Sugar 11 4 5 2 17
6 JKT Oljoro 11 3 5 3 14
7 JKT Ruvu 11 4 2 5 14
8 Mtibwa Sugar 10 3 4 3 13
9 Tanzania Prisons 9 3 4 2 13
10 Ruvu Shooting 10 4 1 5 13
11 Mgambo JKT 10 3 1 6 10
12 Toto African 11 1 5 5 8
13 African Lyon 11 2 2 7 8
14 PolisiMorogoro 11 0 3 8 3