Mkuu mbona unatuchanganya, umetoka kutuambia sasa hivi bila bila na ni half time ina maana kipindi cha pili kishaanza?
Inshallah....
Mpaka sasa tumepata kona 9 Prisons 2.....
8uhanuzi, Nizar na Juma Abdul wamekosa magoli ya wazi....
Kikosi cha Yanga leo ni : Mustapha, Abdul, Joshua, Yondan, Haroub, Twite, Khalfan, Niyonzima, Buhanuzi, Kavumbangu, Mwasyika
Sokoine kipindi cha pili kimeanza, Yanga wamefanya sub, ametoka Kavumbangu ambaye alipewa kadi ya
njano,ameingia Hamis Kiiza
Mkuu mimi nimesema ukaniambia nawaonea wivu, kwa nini hujakipenda sasa au sisi tusio wanayanga haturuhusiwi kutoa maoni?sjakipenda kabisa hi kikosi sijui kama kitatupa matokeo ya kufraisha mwanzo wa ligi ndio unatwaribiaga yanga
Toto wamesawazisha.Kutoka CCM Kirumba: Toto Africans 0-1 Jkt Oljoro
Kutoka CCM Kirumba: Toto Africans 0-1 Jkt Oljoro
Sokoine dk87.mkuu usisahau kutupa matokeo ya mwisho.
Mkuu mimi nimesema ukaniambia nawaonea wivu, kwa nini hujakipenda sasa au sisi tusio wanayanga haturuhusiwi kutoa maoni?
mi sjakubishia kaka ila kavumbavu sio foward na heri angeweka 11st hi batezi,nwasika,oscar,canavaro,yondan,twite,kiza,chuji,niyonzima,bahanuzi,msuva
hiyo Yanga yenu vipi??? Balatanda tume matokeo ya mwisho.
hiyo Yanga yenu vipi??? Balatanda tume matokeo ya mwisho.
Samahani mtani, nilikuchanganya na Mandieta.mi sjakubishia kaka ila kavumbavu sio foward na heri angeweka 11st hi batezi,nwasika,oscar,canavaro,yondan,twite,kiza,chuji,niyonzima,bahanuzi,msuva