Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Jumosi hii inayokuja(27.10.2012):-
Yanga Vs JKT Oljoro - Sheikh Amri Abeid Arusha
Simba Vs Azam - Taifa
African Lyon Vs Kagera Sugar - Chamazi
Mgambo JKT Vs Tanzania Prison - Mkwakwani Tanga
Ruvu Shooting Vs Polisi Morogoro - Mabatini Mlandizi
Tukimdonoa tu Oljoro maisha yanakuwa rahisi Jangwani......,maana mnyama lazima apakatwe na Lamba2......
 
Pamoja na matokeo ya mechi za tarehe 24 Oktoba, msimamo wa ligi unasomeka kama ifuatavyo:
Rnk Team MP W D L Pts
1 Simba SC 9 5 4 0 19
2 Azam 8 5 3 0 18
3 Young Africans 9 5 2 2 17
4 Coastal Union 9 4 4 1 16
5 JKT Oljoro 9 3 5 1 14
6 Kagera Sugar 9 3 4 2 13
7 Tanzania Prisons 9 3 4 2 13
8 JKT Ruvu 9 3 2 4 11
9 Ruvu Shooting 9 3 1 5 10
10 Mgambo JKT 9 3 1 5 10
11 Mtibwa Sugar 8 2 3 3 9
12 Toto African 9 1 4 4 7
13 African Lyon 9 2 1 6 7
14 Polisi Morogoro 9 0 2 7 2

Ungetumia ka-excel ingependeza zaidi.
 
Jumosi hii inayokuja(27.10.2012):-
Yanga Vs JKT Oljoro - Sheikh Amri Abeid Arusha
Simba Vs Azam - Taifa
African Lyon Vs Kagera Sugar - Chamazi
Mgambo JKT Vs Tanzania Prison - Mkwakwani Tanga
Ruvu Shooting Vs Polisi Morogoro - Mabatini Mlandizi

Thanks you bro kwa kuniweka sawa bin sawia...
 
Mhhh Mphamvu why Pamoja??

Tamaduni za editorial desk, wakati mwingine huwa gazeti linaenda mtamboni huku matokeo ya mechi yakiwa hayajafika kwa desk, lazima useme kuwa msimamo huu ni exclusive kwa mechi za jana.
Sasa mimi nimesema inclusive...
 
Last edited by a moderator:
naomba niulize baada ya mechi za jumamosi 27/10 mfano simba akadraw na azam na yanga akashinda kule arusha halafu akaongoza ligi japo kwa tofauti ya magoli,kati ya Simba au Yanga ipi itakuwa timu bora kwa mda huo mana simba itakuwa haijafungwa hata mechi na yanga iligongwa mechi mbili
 
Tamaduni za editorial desk, wakati mwingine huwa gazeti linaenda mtamboni huku matokeo ya mechi yakiwa hayajafika kwa desk, lazima useme kuwa msimamo huu ni exclusive kwa mechi za jana.
Sasa mimi nimesema inclusive...

Okay...nilidhani imewekwa pale kiushabiki zaidi...
 
naomba niulize baada ya mechi za jumamosi 27/10 mfano simba akadraw na azam na yanga akashinda kule arusha halafu akaongoza ligi japo kwa tofauti ya magoli,kati ya Simba au Yanga ipi itakuwa timu bora kwa mda huo mana simba itakuwa haijafungwa hata mechi na yanga iligongwa mechi mbili

Ndo tabu ya product ya shule za Lowasa(Shule za Kata)...Mkuu team bora ni ile itakayokuwa ina vigezo vya kuiweka juu,na issue ya msingingi ni how many points you have lost,team ikifungwa mechi 2 mana'ke ime'loose 6 points,team ikidroo mechi 4 mana'ke ime'loose 8 points wewe kwa taaluma yako hiyo ya shule ya sekondary ya Kata unafikiri who's the best looser between the 2 scenario?
 
Uko sawa, timu bora ni iliyopoteza point chache, regardless imefungwa game ngapi.
Ila hukuwa na haja ya kumdharau mwenzio kumwambia amesoma shule za Lowassa. Dharau huko huko Jukwaa la Siasa...
 
ni kweli lkn kumbuka kwamba Yanga amedroo mechi mbili ina maana hapo amepoteza pointi 4 alafu kafungwa mechi mbili ina maana amepoteza pointi 6 jumla Yanga imeisha poteza pointi 10 na Simba kwa vile imetoka droo nne hivyo imeisha poteza pointi 8....then from the point of view; we can conclude that Simba SC is in safe hands to be the BEST.
 
Mechi zinazofuata:

Mtibwa Sugar 24/10/12
- Kagera Sugar
Young Africans 24/10/12
- Polisi Morogoro
Coastal Union 24/10/12
- African Lyon
Azam 24/10/12
- Ruvu Shooting

Mkuu kwa hapa uko nyuma ya wakati, unatulisha sumu.
 
Uko sawa, timu bora ni iliyopoteza point chache, regardless imefungwa game ngapi.
Ila hukuwa na haja ya kumdharau mwenzio kumwambia amesoma shule za Lowassa. Dharau huko huko Jukwaa la Siasa...

Noted Mkuu!
 
ni kweli lkn kumbuka kwamba Yanga amedroo mechi mbili ina maana hapo amepoteza pointi 4 alafu kafungwa mechi mbili ina maana amepoteza pointi 6 jumla Yanga imeisha poteza pointi 10 na Simba kwa vile imetoka droo nne hivyo imeisha poteza pointi 8....then from the point of view; we can conclude that Simba SC is in safe hands to be the BEST.
Before the sturday's games? you are right!...tutarudi hapa kuongelea hii hoja yako baada ya games za kesho,au siyo Mtani?
 
Ndo tabu ya product ya shule za Lowasa(Shule za Kata)...Mkuu team bora ni ile itakayokuwa ina vigezo vya kuiweka juu,na issue ya msingingi ni how many points you have lost,team ikifungwa mechi 2 mana'ke ime'loose 6 points,team ikidroo mechi 4 mana'ke ime'loose 8 points wewe kwa taaluma yako hiyo ya shule ya sekondary ya Kata unafikiri who's the best looser between the 2 scenario?

du! hayo matusi lakini form 4 nimeliza mwaka 2000 cjui kulikuwa na shule za lowassa
 
Ruvu
Shooting vs Polisi
Morogoro {Mabatini, Mlandizi}

Mgambo
JKT vs Tanzania
Prisons
{imeahirishwa}

African
Lyon vs Kagera
Sugar
{Chamazi, nje kidogo ya DSM}

JKT Oljoro vs Yanga
{Sheikh Amri Abeid, Arusha}

Simba SC vs Azam {Taifa, DSM}
 
Ruvu
Shooting vs Polisi
Morogoro {Mabatini, Mlandizi}

Mgambo
JKT vs Tanzania
Prisons
{imeahirishwa}

African
Lyon vs Kagera
Sugar
{Chamazi, nje kidogo ya DSM}

JKT Oljoro vs Yanga
{Sheikh Amri Abeid, Arusha}

Simba SC vs Azam {Taifa, DSM}

Kwa hisani ya; m.fifa.com/associations/association=tan/nationalleague/results.html
 
Back
Top Bottom