Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Haya wakuu....

Ni msimu mwingine tena,ligi kuu ya VodaCom imeanza rasmi leo....

Mojawapo ya mechi za ufunguzi leo ni hizi:

Prisons Vs Yanga

Simba Vs African Lyon

Kagera Sugar Vs Azam FC.....N.k

Kikosi cha Yanga leo ni : Mustapha, Abdul, Joshua, Yondan, Haroub, Twite, Khalfan, Niyonzima, Buhanuzi, Kavumbangu, Mwasyika
 
Kikosi cha Yanga leo ni : Mustapha, Abdul, Joshua, Yondan, Haroub, Twite, Khalfan, Niyonzima, Buhanuzi, Kavumbangu, Mwasyika
Huyu kocha wenu naye akili yake inawaza kujilinda tu, kuna haja gani ya kupanga natural defenders 6?
 
Coastal union 1 Mgambo jkt 0 pasi kutoka kwa jerry santo mfungaji Danny

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Mwenye matokeo ya mtu na kocha wake, Simkoko Vs Maxime atujuze.
 
Coastal union 1 Mgambo jkt 0 pasi kutoka kwa jerry santo mfungaji Danny

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Mkuu mbona unatuchanganya, umetoka kutuambia sasa hivi bila bila na ni half time ina maana kipindi cha pili kishaanza?
 
Huyu kocha wenu naye akili
yake inawaza kujilinda tu, kuna haja gani ya kupanga natural defenders
6?

Ni mfumo huuhuu ndio umetupa Kombe la Kagame ambalo watani wamelikosa mwaka wa pili sasa...

Mwasyika pamoja na kwamba ni natural right back anacheza kama kiungo mshambuliaji,anapanda na kushuka...

Mbuyu Twite anacheza kama defensive midfielder...Kama ilivyokuwa kwa Alex Song alivyokuwa Arsenal....

Namuona Hamis Kiiza 'Diego' anapasha hapa......
 
Mkuu mkitumia huu mfumo tarehe 03 oktoba tutawagonga zaidi ya tano.
 
Wivu huo!
Tuachie yanga yetu bana wewe vp?
Hapo ni mchaka mchaka wa 5-1-2-2.
ha ha ha ha ha ha, wivu utoke wapi hamjapata goli hata moja mnalo kuanza na wanajeshi mchezo inabidi mkaze kama mnataka kushinda.
 
Back
Top Bottom