Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
PrN-kazi asante kwa kuwa mwaminifu kwakufuata kauli mbiu ya fifa 'my game is fair play maana wengine wametokomea. utahitaji kinywaji gani kama hutajali agiza na mishikaki tani yako
 
Hongera Yebo Yebo...

asante mkuu kwa kutoa respect but sikunyingine msicheze mpira mdomoni u need to go on the pitch. By the way unaweza agiza kinywaji chochote kile upoze machungu gharama zote juu yangu enjoy the day
 
Mara ooh,arsenal mwaka huu lazima ishuke daraja,mara Yanga inakufa,sasa ni majibu kwa vitendo tu!
 
Kuna jamaa alisema Simba wametangulizwa stendi lakini nauli amebakia nayo Yanga nyumbani, which means hadi Yanga afike stendi ndio safari ianze. Naanza kuamini kidogo kidogo hiyo kauli.
 
Kuna jamaa alisema Simba wametangulizwa stendi lakini nauli amebakia nayo Yanga nyumbani, which means hadi Yanga afike stendi ndio safari ianze. Naanza kuamini kidogo kidogo hiyo kauli.

inaonekana huyo jamaa alikuwa genius angekuwa jaribu ningempa zawadi
 
[TABLE="class: grid, width: 100%"]
[TR]
[TD]Club
[/TD]
[TD]P
[/TD]
[TD]W
[/TD]
[TD]D
[/TD]
[TD]L
[/TD]
[TD]GF
[/TD]
[TD]GA
[/TD]
[TD]GD
[/TD]
[TD]Pts
[/TD]
[TD]POSITION
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Simba SC[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]27[/TD]
[TD]1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JKT OLJORO FC[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AZAM FC[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]21[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]YANGA FC[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JKT RUVU
[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MTIBWA SUGAR
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KAGERA SUGAR
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]RUVU SHOOTING
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]-2[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTO AFRICAN
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]15[/TD]
[TD]-2[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MORO UNITED FC
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]-3[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AFRICAN LYON
[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]-6[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]8
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]POLISI DODOMA
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]-4[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]COASTAL UNION FC
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]-6[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]12
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]VILLA SQUAD FC
[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]23[/TD]
[TD]-14[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]14
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




Tarehe 29-10-2011 ni:
Yanga 1 : Simba SC 0

Ahsante kwa updates za haraka (mara baada ya mchezo) za msimamo wa ligi. Ila hesabu za hapo nilipoweka bold and underline bado sijayaelewa. Ni makosa ya kutoa (kutafuta the difference) au kumbukumbu za magoli ya kufunga na kufungwa hayako sawa au ni bado maumivu ya matokeo ya jioni ya leo? Niko mbali na nyumbani hivyo sina takwimu sahihi (ndiyo maana nauliza).
 
Mnamaanisha mnyama katumika leo, kumbe aliwawekea yanga waikate safi sana hongera mnyama kwa kutunza hiyo kitu
 
Halafu kale ka kampeni kakumaliza raundi ya kwanza bila kupoteza kameishia wapi au ndo ilikuwa kumpa kibogoyo mfupa
 
Nilisoma gazeti moja ambalo lilimnukuu mtu anayeitwa Immanuel Okwi kuwa leo lazima atawfunga Yanga. Na kama atashindwa kufanya hivyo, lazima atatengeneza nafasi kwa wenzake ili wafunge. Je leo alikuwepo kati ya 11 waliocheza? Kama alikuwepo, alifanyaje, alimtengenezea nafasi D. Mwape? Walioliona hilo pambano naomba wanieleweshe.
 
Back
Top Bottom