Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Akishafungwa mmoja utaona watamwagika tu hapa, saa hizi wanaogopana wanatoa updates kwa machale lakini ni halftime now milango yote migumu

bora mkuu and thanks 4 updates maana before the game jamaa walikuwa wanachonga sana(wanacheza mpira wa mdomon) lakin mida la gem la uwanjani wote wamepotea
 
bora mkuu and thanks 4 updates maana before the game jamaa walikuwa wanachonga sana(wanacheza mpira wa mdomon) lakin mida la gem la uwanjani wote wamepotea

Yaani mie mwenyewe niko mbali na sina access ya radio, nategemea humu JF lakini wakutoa updates wamelala mbele duh, natamani afungwe mtu ili jamaa waje kwa wingi kutuelezea
 
Hapa watu wataanza kuonekana baada ya mech kuisha saa hivi presha ziko jut na wengine wanamakopo ya dawa za panadol kwa ajili ya kushusha presha
 
Back
Top Bottom